Kaka Michuzi pokea baadhi ya taswira zikionesha kupatwa kwa jua.Picha hizi zimepiga tokea Wuhan(China) katika chuo kikuu cha Sayansi na Tekinolojia cha Huazhong University mida ya saa 9:25 hivi asubuhi ya China. Tumeshuhudia kiza totoro kwa muda kama wa dakika 6 hivi. Unaweza zipenyeza picha mbili tatu kwenye blog ya jamii wadau wapate kujionea
mdau akipiga chabo kupatwa kwa jua

wadau wakishuhudia kupatwa kwa jua huko Wuhan, China
wadau wakijumuika na wa mataifa mengine kushudia kupatwa kwa jua




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 22, 2009

    ndani ya dakika km sita kilipita kiza kinene.so far ktk karne ya 21 huu ndio muda mrefu kupata kutokea

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2009

    Mnaangalia tu bila ya kuvaa miwani, hivi kweli nyinyi mnajua athali zake kweli?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 23, 2009

    du,kweli,yani wanaangalia bila kuvaa miwani maalum ya kuangalizia.poleni sana.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 23, 2009

    mh!!
    yalikuwepo yapo yatakuwepo...

    kawaida tu

    ReplyDelete
  5. ok sisi hatujui athari zake basi tupe hizo athai zake nasi tujue wtz wenzangu tuweni wa kuelimisha kuliko kuchekana tafadhali tupeni data.ni hayo tu kaka

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 23, 2009

    Athari yake ni nini? Acha usanii wa kijiweni.

    ReplyDelete
  7. nsubi naona unakula jicho vibaya hapo.....duh we noma yaani mara ushaupload hiyo image kwenye messenger..anyway itz great to see u here...wape hi akina pacho na bata na wote hoping mmeiona eclipse wote.....aah usimsahau kamuli..mzee wa man u

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...