Mtandao wa wasomi Tanzania
unapenda kukushukuru kwa ushiriki wako wa kuchangia mada mbalimbali pamoja na kupost scholarships na nafasi mbalimbali za kazi. Hii yote ni katika kusaidiana watanzania sisi kwa sisi katika swala zima la elimu na maendeleo.
Tunachukua nafasi hii kuwakaribisha tena wadau kujiunga nasi kuendeleza libeneke la elimu nchini. Karibu upate information juu ya scholarships, kazi, na ujuzi mbalimbali. Karibu utoe mada na uchangie mada na wasomi wenzako.
Vile vile tunatoa ushauri wa bure kuhusu maswala mbalimbali ya elimu nje ya nchi.

Karibu sana
www.varsitycollegetz.ning.com
Kitogo
Kitogo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...