MKubwa pokea taswira ya kupatwa kwa jua tuliyoichukua Live toka hapa Friendship Apartment of Huazhong University of Science and Technology kilichopo hapa Wuhan, Hubei China sehemu mojawapo iliyoshuhudia total eclipse kwa China.
Tumeshuhudia ndege wakirudi viotani huku wadudu wa usiku wakianza kulia na taa za barabarani zikijiwasha, jamani...background sound ni kifaransa kwani nilizungukwa na Francophone.
Kutokana na ukubwa wa video,nimeupload kweye utube unaweza kuipaa hapa
http://www.youtube.com/watch?v=ceFnOicrW3w
Kutokana na ukubwa wa video,nimeupload kweye utube unaweza kuipaa hapa
http://www.youtube.com/watch?v=ceFnOicrW3w
Je, na sisi huku afrika hasa Dsm tunaweza hata kuona anything chanes to the sun, un mwanga waweza kuwa faint kiasi
ReplyDeletembona hiyo linki hovyo? Ina mana mkuu wa wilaya huwa hucheki kwanza?
ReplyDeleteLink hapo ovyo ila huwezi kuiclick,so copy an paste,Kama kawaida wabongo kwenu cha kwanza ni dongo then mambo mengine ndio yafuate.
ReplyDelete