Home
Unlabelled
libeneke united ya algeria
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wadau wa Algeria poleni sana na mitutu huko . sikujua kama kuna wabongo wengi huko .. nauliza Mdogo wangu Twahir .. yupo ?
ReplyDeleteebwana!! namuona FAHAM na mkubwa SALUMU!! big up big up wana!!
ReplyDeleteKwa kifupi Algeria ni waya sana. Karibuni wote wanakimbilia Ufaransa kila siku. Bora mrudi Bongo mnapoteza muda wenu. Elimu yao haijulikani kokote. Sasa sawa na kusoma Zanzibar University.
ReplyDeleteJamaa mbona mwaonekana wachooovu, hamna hata nuru au mmekumbuka kwenu!
ReplyDeleteJaphet Sanga mwandishi wa Daily News namwona hapo. Kaka vipi pizza inapatikana huko? Najua wewe mpenzi wa pizza sana.
ReplyDeletehuyu nani tena na DeGutaJi lake? huyo mdau wa kwanza nae akisikia algeria tswira yake inampa kuna mitutu.......wacha mi niendelee kula chabozz....
ReplyDeleteebana mdau hapo juu kwa taarifa yako Algeria hakuna waya wala nini mtu wangu.kama elimu yake haijulikani kwa serikali ikubali kupeleka wanafunzi wake kule!!??ukiongea vitu uwe na uhakika navyo na si kuchonga domo tu.tatizo watz hatufanyi utafiti kujua kitu kwa kina sisi wenyewe bali tunapata habari za kizushi na tunaamini tu.hatutaendelea kihivyo hata siku moja.
ReplyDeleteIla mlifungwa mengi sana 9-2 duh,niliposikia nikajua kipa alikuwa Halima Msuya namba 5 sofia sokoni na sita ni Dadaa Rahma na 10 ni Irene kumbe ni madume tupu ndani ya uwanja,Taja,Twahir,Hadi amir ndani ya nyumba.
ReplyDeleteInshallah mwenyewi Mungu awalinde na mjanga mwaka huu.
Amen
Ah nyie vijana baba enu Mushokolwa bado yupo?na wazee wenyewe wa atsa kina Bandora,Mperella,Ringo,Mgweno,Dulla,Babu Haji,kina Saulo na MarcD mbona siwaoni,au nyie waganda mmeazina jezi za wabongo?????Tushawastukia nyie WADUDU sio watz
ReplyDelete