moja ya mabango yanayopamba hapa accra kwa ujio wa obama. naona watani wa jadi wanazidi kujiuma meno, jamaa kawanyondea hadi leo. hahahaha...
Mdau Accra

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 11, 2009

    Na hotuba yake ilikuwa nzuri sana hasa katika mambo yote alyoyazungumzia
    (1) Sheria (itumike kwa watu wote) - rule of law; uchaguzi, rushwa (kuweka kiwanda unahitaji kumwona bwana ...na bwana...na bwana....au njoo kesho....)
    (2) Mafanikio kwa waafrika wote (opportunty)
    (3) Vita (afrika imekaa kupgina vita ya wenyewe kwa wenyewe - mwenye nguvu...na kutumikisha watoto katika vita; labda nionegze langu hapa: == je viongozi wetu wanapata wapi mahela yao yote waliyoweka uswisis -- labda kwa sababu hakuna sheria sawa kwa watu wote....si ndio wajamani?);
    (4) Afya (public health) - wanawake, aids, nk - jamani haya matatizo ya afya yanaua watu wetu, yanakimbiza madaktari wetu kwenda ngambo....
    (5) Amani dunia nzima.....yanayotokea afrika yanasumbua dunia nzima....
    (6) Na pia amesongelea kuhusu kuacha mara moja kulaumu nchi za magharibi kwa kila tatizo.....tuanze upya na kutumia rasilimali zetu kwa ajili ya watu wetu
    (6) Jamani mnaona alivyochangamsha watu huko ghana?? na sisi watanzania tuko wapi katika mizani hii ya Obama?

    Inawezekana sikuweza kuyakamata mambo yote kwa sababu mtandao ulikuwa unasumbua kwa hiyo sikumsikiliza vema....Tena na mama spika -- waghana wako mbali kwa demokrasia.

    Mungu ibariki afrika, mungu ibariki tanzania na watu wake

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 11, 2009

    AMEAMUA KWENDA GHANA KATIKA NCHI ZA KUSINI MWA SAHARA KAMA ICONIC SYMBOLIC STATEMENT THAT IS NOT CONDONING SEREKALI ZISIZOFUATA UTAWALA WA SHERIA NA HAKI SAWA KWA WOTE NA ZINAZOKUMBATIA RUSHWA IKIWEMO TANZANIA NA KENYA NCHI AMBAZO ZINAZOONGOZA RUSHWA AFRIKA, MIMI NAONA HII IENDA MBALI HADI KWENYE UTOWAJI WA MISAADA INAYOISHIA SWISS BANKS KWENYE ACCOUNTS ZA WAKUBWA ZETU, YAANI NCHI KAMA HAIONYESHI HATUA MUHIMU ZA WAZI NA MAKUSUDI KABISA ZA KUPIGANA NA RUSHWA NA KULETA MAENDELEO KWA WATU WOTE NA KUWAONDOA KATIKA UMASIKINI WA KUTUPWA BASI ZISIPATIWE MISAADA NG'OOOOOO IKIWEMO TANZANIA KAMA HAIONYESHA MAKUSUDI MAZIMA YA KUPIGANA NA RUSHWA NA KUWATOWA WATU TOKA UMASIKININI BASI PIA ISULUBIWE HAMNA HAJA YA MISAADA INAYOWASAIDIA WACHACHE TU NA SI WATU WOTE, WATU PIA WANAWEZA KUSEMA AMECHAGUWA GHANA KWA VILE HIVI KARIBUNI KUMEGUNDULIWA MAFUTA HIVYO WA U.S.A. WANAYANYEMELEA HAYO, KUNAWEZA KUWA NA UKWELI NDANI YAKE LAKINI CHA MSINGI NI UPIGANAJI WA RUSHWA NA UTAWALA WA HAKI NA SHERIA GHANA WANAJITAHIDI KIDOGO UKILINGANISHA NA NCHI ZOTE ZA AFRIKA NZIMA, UCHAGUZI ULIOPITA GHANA MSHINDI ALIMSHINDA MWENZIWE KWA KURA ELFU 40 TU (40000) HIVI USHINDI WA AINA HII UNGETOKEA KENYA AU TANZANIA CHAMA TAWALA KINGEKUBALI KUACHIA HATAMU (UTAMU) SI WATU WANGEUANA. LAKINI GHANA CHAMA TAWALA KILIACHIA UTAMU BILA KUBISHA NA KUMWAGA DAMU ZA WATU PAMOJA NA KUKAA MADARAKANI MIAKA MINANE BACK TO BACK. IT IS A LESSON TO BE LEARNT BY AFRICANS, IS NOT IT? NIKIPATA MUDA NITALETA ARTICLE MOJA ILIYOANDIKWA NA ERICK KABENDERA KATIKA GAZETI MOJA HAPA U.K. LIITWALO THE INDEPENDENT WITH THE HEADING I QOUTE " WHAT AFRICA WANTS FROM OBAMA" END OF QOUTE

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 11, 2009

    ndio huu ulikuwa ni mhadhara kwa bara la afrika. mfano bongo tunadai kuwa tuna demokrasia ya vyma vingi, lakini ya kwetu sio demokrasia endelevu. kwa nini? angalia chaguzi kuu mbili zilizopita bongo visiwani na huu mkakati kamambe wa ccm kuzorotesha vyama vya upinzani. hivi vitu viwili vinatupunguzia pointi tukijilinganisha na nchi kama ghana. ukisikia obama anasifia uongozi wa jk ni lugha ya diplomasia tu. jk ameshindwa kuhitimisha 'muafaka' na sasa serikali yake inajiandaa kununua magari zaidi ya kumininia watu maji ya pilipli!!!(soma hotuba ya bajeti ya waziri wa mambo ya ndani). huu si msingi mzuri wa utawala bora na demokrasia endelevu. ndio haya bo aliyokuwa nahutubia na nina matumaini watawala wetu wameusikiliza mhadhara huo.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 11, 2009

    TANZANIA TUJIFUNZE KUTOKANA NA HOTUBA YA PRESIDENT OBAMA, KAMA AMEWEZA KIACHA NCHI ALIKOTOKA BABA YAKE NA KWENDA GHANA KULIKO NA DEMOKRA, NASI VIJANA WA TANZANIA HATUNA BUDI KUFICHUA NA KUKEMEA UFISADI UNAORUDISHA NCHI YETU NYUMA NA KUTUWEKA KWENYE POVERTY LINE, HUYU PRESIDENT IS A GOD SENT TO 21ST CENTURY, KILA KIJANA AKEMEE RUSHWA, HATA KAMA NI BABA YAKO AU MJOMBA WAKO MKEMEE NA UMFICHUE KWANI NDIYE ANAEKURUDISHA NYUMA, UNA ELIMU YA KUTOSHA LAKINI KAZI HUPATI KWA SABABU HUNA TITTLE, WEWE BABA YAKO NI MKULIMA NA YUKO KIJIJINI NANI ATAKUTAMBUA, HUU MCHEZO UISHE NA LEO RAISI OBAMA AMEWAUMBUA SANA. SECOND, RAIS WETU YUKO MAREKANI MOST OF THE TIME HIZO PESA ZA MISAADA ANAZOPEWA ZINAENDA WAPI? HAKUNA MAENDELEO, HAKUNA INFRASTRUCTURE, MABARABARA MABOVU, HAKUNA AJIRA KWA WASOMI, PLEASE KAMA SINA PESA AU SINA BACK BONE SIPATI KAZI ITAISHA LINI? IT IS TIME TO STAND UP VIJANA WENZANGU, TOGETHER WE CAN, PESA ZA WANANCHI ZITUMIKE KULETA MAENDELEO KWA WANAINCHI NA SIYO KUJILIMBIKIZIA VIONGOZI. AJIRA ZITOLEWE BILA UPENDELEO NA KATIKA MIAKA KUMI IJAYO SIFA WALIZOPEWA GHANIAN'S TUTAZIPATA SISI TANZANIA KAMA TUTASIMAMA IMARAA VIJANA, PRESIDENT OBAMA ANA WAKALISHA 21ST CENTURY, KILA KIJANA ANAGUSWA NA HUYU RAISI PLEASE KWA WATOTO WETU NA VIZAZI VIJAVYO STAND UP FOR OUR RIGHTS.YES WE CAN.
    KIJANA ALIYEGUSWA NA SPEECH YA PRESIDENT OBAMA.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 11, 2009

    THE BIG MSG-YOUR FUTURE IS IN YOU OWN HANDS

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 11, 2009

    Wakenya ni majirani zetu ila ni wapumbavu sana,yaani wamekuwa wakilalamika kuwa lazima PRES B.OBAMA aemdnde kenya wakati wanajifahamu ni Magaidi.Yaani wao waendeleee kutumia Mgogongo wa viongozi wa Tanzania sio nchi nyingine maana wao ndio huwa lea sana.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 11, 2009

    Raisi Obama kafanya lamaana si kwamba kawabania Kenya, Raisi Obama alivyopata Uraisi angenda moja kwa moja Africa nchi yoyote watu wangemchukulia vengine katumia akili, kaenda nchi za Ulaya mwanzo.

    Raisi Obama pia angeenda Kenya mwanzo katika nchi za Africa toka apate uraisi wake pia wangemchukulia vibaya katumia akili nzuri.

    Ghana ni nchi ya Kwanza Africa kupata Uhuru ukiwacha South africa kupata na kuja kupata mwisho, ndomana akaamuwa kwenda huko kwanza Nchi chache sana Africa zenye Amani ya wanadamu ni Ghana na Tanzania na baazi zengine Africa. Kenya itakuja tu zamu yao wasiwe na hofu kwani huko ni kwao inshallah mungu ndio anapanga. Tanzania tunamkaribisha pia. MZ.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 13, 2009

    whatever...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...