juu na chini ni kundi la muziki wa mwambao la Bi. Kidude ambalo ameongozana nalo katika ziara ya ughaibuni inayoendelea hivi sasa.
Mwanamziki nyota wa kizazi kipya cha mziki wa dansi, Mr.Buti Jiwe aka Galinoma Jr. akimtambulisha kwa umati washabiki Malikia wa Mziki wa taarabu wa Afrika na Hazina ya Afrika Bi.Kidude.huko Uholanzi ambako Bi.Kidude alifanya vitu vikubwa na kuhakikishia ulimwengu kuwa yeye ni Hazina na Malikia wa mziki
Malikia wetu wa muziki wa taarabu barani Afrika Bi.Kidude ambaye pia ni hazina ya sanaa na balozi wa utamaduni akiwa na Henry Galinoma a.k.a Mr.Buti Jiwe na Mwadada fulani wakishow Love huko uholanzi majuzi ambako bi.Kidude alifanya shoo ya kufa mtu na kuchengua maelfu ya washabiki. picha zimeletwa na Ngoma Africa band

Heshima kwako mkuu wa wilaya. Huyo bibi ni kweli ni kioo cha jamii.
ReplyDeleteNaomba utuwekee angalau moja ya nyimbo zake za taarab ili tuweze kuburudika, kama inawezekana.
Niliwahi kumsikia akiimba ``muhogo wa jagombè`` tu enzi hizoooo. Nadhani anazo nyingi na nzuri.
Natakunguliza shukrani.
Hayo ndiyo mambo tunayotaka kuona, kumuendeleza mtu regardless of his/her age or race, now you really showed Tanzania an example we are looking for, kama marekani mtu anapata degree,master degree akiwa na miaka 92 why not Tanzania kumwendeleza Bi Kidude Ngome ya Utamaduni wetu? Bi Kidude Juu na udumu daima and God Bless you, endeleza kufanya mavituzi yako bibi yetu.
ReplyDeleteHii ndio hasa, ushirikiano katika usanii, Buti Jiwe hangera sana kwa ushirikiano na Bibi yetu, katika fani hii ya muziki.
ReplyDeleteHii imeonyesha kua hakuna tofauti ya mwanamuziki mkongwe na mwanamuziki wa kizazi kipya.Bi kidude ni kama nemba ya nchi yetu popote pale,anapokwenda.
kamwene bela mwagito Galinoma Jr
ReplyDeletendi muyago wa kulaa ku-boma
hongera sana kijana hongera sana bi kidude