Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwaonyesha sungura watoto wa Kijiji
cha Matumaini cha Dodoma kinacholea watoto yatima ambao aliwaalika nyumbani
kwake Mjini Dodoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 14, 2009

    i like mama pinda ni mmama simple asie na makuu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 14, 2009

    Jamani sungura (thungura) wanaliwa? Ni swali naomba jibu mwenye kuelewa. Asanteni

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 14, 2009

    oooh how lovely and positive

    mama excellent with those innocent babies

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 14, 2009

    Jamani hawa viongozi wetu wananyumba kila mkoa?? halafu mama unakibali cha kumiliki hao sungura kutoka maliasili!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 14, 2009

    kwa uliyeuliza kama sungura wanaliwa, ni kweli wanaliwa na nyama yao ni tamu sana, binafsi naipenda sana nyama ya sungura. yaani hii picha leo nimekuwa nikiiangalia mara nyingi sana kwa sababu nami pia ni mpenzi sana wa kufuga sungura. halafu huwa nikichoka na kazi zangu basi naingia kwenye banda la sungura na kucheza nao, nawapenda sana hawa wanyama, napenda sana kuangalia wanapocheza. hongera sana waziri mkuu na mkeo kwa kufuga.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 14, 2009

    we utapendaje kucheza na sungura na hapohapo unawachinja bila huruma na kula nyama yao???

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 14, 2009

    Nini tofauti ya nyama ya sungura na nyama ya panya?

    ReplyDelete
  8. Ni jambo jema sana alilofanya mama kwa watoto hawa.

    I just hope that hiie ni nyumba yao kweli na siyo nyumba waliyopewa na serikali. Nilishaona viongozi kama wakuu wa mikoa au wilaya wanatumia IKULU walizopewa kufugia wanyama...those government houses should be respected! Can you imagine JK akianza kufuga ng'ombe kule ikulu?

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 15, 2009

    kwa anano wa 08:26 pm. tofauti ni kwamba moja ni nyama ya panya na nyingine ni nyama ya sungura. Sungura na panya ni tofauti, mwenyewe umeshasema sungura na panya halafu unauliza.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 15, 2009

    Hivi jamani naweza kuwa kama Madonna kuja kpata mtoto mmoja hapo!!naombeni mnieleweshe kama hao watoto unaweza kuchukua mmoja na kumtunza huku ulaya..mdau

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 15, 2009

    mdau wa Wed Jul 15,05:44:00 pm,make sure ureasearch kwanza, wazazi wake hawakawii kuibuka na kudai mtoto wao,halafu mkaishia kuburuzana kwa pilato...lol.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 17, 2009

    Mmmhn..huu ufugaji sungura kwa gharama za walipa kodi ambao hata kuku wanakula siku ya sherehe tu ,mara chache kwa mwaka!!!Hata hakuna cha kusifu hapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...