Home
Unlabelled
wapenzi bwelele bwawa la maini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Inamana simba na Yanga hazinawashabiki tene?? maan kila kukicha bwawa la maini..
ReplyDeletedah!! "U'LL NEVER WALK ALONE!!". hili statement kwa kweli huwa linanipa mafeelings sana!!! hili chama Livapuli mwanangu mwenyewe acha tu!!!! juzi kati hapa nimetembelea livapuli nikaenda hadi uwanja wa watani wadogo Godson Park baada ya kuwa nimeshatembelea chamani ANFIELD. kwakweli sijisifu lakini chama mwanangu limetulia mbaya yani!! na hatutaki makubwa tumechukua Johnson lakini kale kadozi ketu ka 2-1 kwetu halafu 4-1 kwenu kako palepale wanangu wa trafford!! nyie mtajengaje uwanja karibu na trafford centre sehemu ya shopping?? se tukija hapo mjue hatuji fanya shopping bali kazi ni moja tu kuua shetani kwao kisha tunakipa zetu home livapuli ha ha ha ha ha!!!! poleni sana. na hakyanani huyo mzee wenu Owen akifikisha mabao kumi next season mi nakunywa sumu!!!! hapo mna guruwe Rooney tu hao wengine wote kalagabaooo!!!! mliuza ronaldo mkitegemea kumpata Karim Benzema lakini wazee wenye fweza zao wamewapiga bao la kisigino teh teh teh teh. na sasa fagasoni anasema eti hazitaki mbichi hizi....maneno ya mkosaji ha ha ha teh teh teh he he.
ReplyDeleteKwaherini tukutane next season kwa ajili ya Ku-renew kale kautaratibu ketu ka "kwetu 2-1 kwenu 4-1""
mzalendo ni mtu wa aina gani? huyu mwenye gari hajui maana ya uzalendo. msiishi kwa kuiga iga tuuu!!! kuweni wapenzi wa ardhi yenu na mambo yaliyomo.
ReplyDeleteG/mboto Mwenge hiyo
ReplyDelete