msondo ngoma band

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 15, 2009

    Masikini Msondo!!! Pengo la Moshi Tx William halizibiki, na hapa linajidhihirisha wazi, Naimic sana sauti yake, RIP Tx. Amin!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 15, 2009

    Tunapowaambia Msondo ni baba ya ngoma Mtuelewe, hii ni band ya ukweli sio zuga kama zilivyowengi.

    Uhalisia wa mwanzo wa nyimbo hii na ilivyopigwa hapa havipishani pamoja na kwamba kuna kama watu watatu muhimu hawapo kwa sasa.

    Wengine mmefulia hasa Sikinde.

    Nikumegee basi walioshiriki katika video hii ya AJALI (UTUNZI WA TX)
    1. kAMANDA gURUMO.
    2. jUMA KATUNDU
    3. sHUKURU mAJAALIWA (NAFASI YA tx)
    4. PAPAA UPANGA (NAFASI YA jUMBE)
    5. sAID mABERA (sOLO GITAA0
    6. rAMADHAN zAHORO bANWE (rYTHEM gITAA)
    7. pROF. kANDAYA (solo)
    8. oMAR mNYUPE (TRUMPET)
    9. rOMAN mUNGANDE (tRUMPET)
    10. rAMADHANI LENDI (sEXSAPHONE)
    11. bUYUKWA (NGOMA - TUMBAK)
    12. mAWIRA (dRUMS)

    SONGI HILI (KALI KICHIZI) LIMETUNGWA NA ALMARHOUM SHEIKH ALI SHBANI MHOJA KISIWA (A.K.A TX MOSHI WILLIAM WA UKWELI.

    makonoz eee, tutafutie ile solemba ya Almarhoum Nico zengekala au KAza Moyo tupate raha nyengi.

    Tutaonana wadau,

    Mwanazanzibaar - mzee wa mji mkongwe.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 15, 2009

    Mkuu Michuzi,
    Tunashukuru kwa kutupa mambo ya "baba ya Mziki" mambo hadharani,ambayo yamekuwa chachandu kwetu.
    watoto wauswahilini FFU

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 15, 2009

    Inanikumbusha enzi zileee. Unaizunguka chupa ya bia na unadai kua hata jumamosi iliyopita ulichezea sehemu hiyohiyo

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 15, 2009

    bongo kiboko,mchana kweupe watu waka mbaya sana na hawana ajira...hapo ndio ujue nini maana ya Dar kuitwa Bongo

    ReplyDelete
  6. Burudani nzuri .. nimefurahi kumuona kamanda wa vichekesho .. small.. ila ushauri kwa Msondo wapunguze Masaxphon na Trumpet kwani muziki wa aina hiyo umepitwa na wakati ..hata Zaire kwenyewe tuliowaiga hawatumii tena .. TP OK JAZZ aliacha kutumia saxphone miaka mingi . Tabley yeye ndio hakugusa kabisa ,hata waasisi wa hizo Carribean hawatumii tena .. naona hapo mna keyboard lakini haina mpigaji .. hiyo ingeweza kutumika kam sax ,trumpet .. na vingine vingi . au ndio kulindana kuwapa ajira wakongwe wenzenu..???

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 15, 2009

    Sikinde ndo kiboko ya muziki wa dansi Tanzania, wanajua kuowanisha saxaphone, trumpets, drums, guitars viendane na sauti za kina Bitchuka na wenzie.

    Sikiliza nyimbo ya zamani 'Mimemwacha mume wangu na kwenda kwa Rehani, mama yamenikuta..'

    Michuzi weka balansi tuletee clip ya wahapahapa video-Mlimani Park ipo ktk www.youtube.com, tuamue nani zaidi kati ya Hiyo clip ya msondo na kitu hicho kipya cha sikinde.

    Lete raha katika blogu ya jamii mkuu wa wilaya ya Tegeta.

    Mdau
    Mpenzi wa Muziki wa dansi.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 16, 2009

    Anon wa 11.47pm huo wimbo wa "nimemwacha mume wangu nimekwenda kwa Rehani...." sio wa sikinde, ni wa safari sound (OSS) uliimbwa na Bitchuka na wengine baada ya kutoka sikinde. Msondo ni baba ya muziki hilo halipingiki, wanamuziki wengi wamefariki lakini bado huwezi kujua kuwa hawapo maana wamepikwa vijana wapya na kuziba mapengo!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...