msondo ngoma band
Home
Unlabelled
mambo hadharani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
msondo ngoma band
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Masikini Msondo!!! Pengo la Moshi Tx William halizibiki, na hapa linajidhihirisha wazi, Naimic sana sauti yake, RIP Tx. Amin!!
ReplyDeleteTunapowaambia Msondo ni baba ya ngoma Mtuelewe, hii ni band ya ukweli sio zuga kama zilivyowengi.
ReplyDeleteUhalisia wa mwanzo wa nyimbo hii na ilivyopigwa hapa havipishani pamoja na kwamba kuna kama watu watatu muhimu hawapo kwa sasa.
Wengine mmefulia hasa Sikinde.
Nikumegee basi walioshiriki katika video hii ya AJALI (UTUNZI WA TX)
1. kAMANDA gURUMO.
2. jUMA KATUNDU
3. sHUKURU mAJAALIWA (NAFASI YA tx)
4. PAPAA UPANGA (NAFASI YA jUMBE)
5. sAID mABERA (sOLO GITAA0
6. rAMADHAN zAHORO bANWE (rYTHEM gITAA)
7. pROF. kANDAYA (solo)
8. oMAR mNYUPE (TRUMPET)
9. rOMAN mUNGANDE (tRUMPET)
10. rAMADHANI LENDI (sEXSAPHONE)
11. bUYUKWA (NGOMA - TUMBAK)
12. mAWIRA (dRUMS)
SONGI HILI (KALI KICHIZI) LIMETUNGWA NA ALMARHOUM SHEIKH ALI SHBANI MHOJA KISIWA (A.K.A TX MOSHI WILLIAM WA UKWELI.
makonoz eee, tutafutie ile solemba ya Almarhoum Nico zengekala au KAza Moyo tupate raha nyengi.
Tutaonana wadau,
Mwanazanzibaar - mzee wa mji mkongwe.
Mkuu Michuzi,
ReplyDeleteTunashukuru kwa kutupa mambo ya "baba ya Mziki" mambo hadharani,ambayo yamekuwa chachandu kwetu.
watoto wauswahilini FFU
Inanikumbusha enzi zileee. Unaizunguka chupa ya bia na unadai kua hata jumamosi iliyopita ulichezea sehemu hiyohiyo
ReplyDeletebongo kiboko,mchana kweupe watu waka mbaya sana na hawana ajira...hapo ndio ujue nini maana ya Dar kuitwa Bongo
ReplyDeleteBurudani nzuri .. nimefurahi kumuona kamanda wa vichekesho .. small.. ila ushauri kwa Msondo wapunguze Masaxphon na Trumpet kwani muziki wa aina hiyo umepitwa na wakati ..hata Zaire kwenyewe tuliowaiga hawatumii tena .. TP OK JAZZ aliacha kutumia saxphone miaka mingi . Tabley yeye ndio hakugusa kabisa ,hata waasisi wa hizo Carribean hawatumii tena .. naona hapo mna keyboard lakini haina mpigaji .. hiyo ingeweza kutumika kam sax ,trumpet .. na vingine vingi . au ndio kulindana kuwapa ajira wakongwe wenzenu..???
ReplyDeleteSikinde ndo kiboko ya muziki wa dansi Tanzania, wanajua kuowanisha saxaphone, trumpets, drums, guitars viendane na sauti za kina Bitchuka na wenzie.
ReplyDeleteSikiliza nyimbo ya zamani 'Mimemwacha mume wangu na kwenda kwa Rehani, mama yamenikuta..'
Michuzi weka balansi tuletee clip ya wahapahapa video-Mlimani Park ipo ktk www.youtube.com, tuamue nani zaidi kati ya Hiyo clip ya msondo na kitu hicho kipya cha sikinde.
Lete raha katika blogu ya jamii mkuu wa wilaya ya Tegeta.
Mdau
Mpenzi wa Muziki wa dansi.
Anon wa 11.47pm huo wimbo wa "nimemwacha mume wangu nimekwenda kwa Rehani...." sio wa sikinde, ni wa safari sound (OSS) uliimbwa na Bitchuka na wengine baada ya kutoka sikinde. Msondo ni baba ya muziki hilo halipingiki, wanamuziki wengi wamefariki lakini bado huwezi kujua kuwa hawapo maana wamepikwa vijana wapya na kuziba mapengo!!!
ReplyDelete