Home
Unlabelled
mambo ya gado
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
From your evolution cortoon, the only thing missing is the time frame.
ReplyDeleteWhile from the apes to the upright man has taken millions of years, from man to sperm is a few months!
Not many people on this bog can understand this!!!
sasa mwenzenu mi naomba msaada maana historia yangu imeishia A'level, wakati wote nimekuwa nikiwauliza walimu, hivi mbona hao nyani na sokwe wapo mpaka leo lakini hawabadiliki tena kutoka hali zao kuwa watu? hawakunuipa majibu yanayofaa, msaada jamani. ulimwengu unatudanganya!!!
ReplyDeleteHe it is Who hath created man from water, and hath appointed for him kindered by blood and kindered by marriage, for thy Lord is Omnipotent(SAW)25:54
ReplyDeleteWakatabahu
scientifically that law of evolution ile ya darwin is disaproved. kwa hiyo msikonde sana na hiyo historia imebakia tu katika mavijitabu ya zamani. kwa sasa hiyo ni historia.ktk publication mpya zitakazotoka haimo tena.japo pia wanasayansi hawajakubali moja kwa moja kuhusu creation. lakini kwa tunao amini hilo tunalitambua. sema sayansi misingi yake hairusu kufungamana na imani yeyote,bali kukubali kile kinachotokea ktk majaribio.nadhani umenipata.wanaogopa kwamba ukiamini utakuwa na limitation zitakazo kufanya usifanye baadhi ya majaribio,na utatoa hitimisho ambalo liko biased kuelekea ktk imani yako.lakini nikutoe wasiwasi tu kuwa creation ndio haswa iko sahihi,nami kama muumini na mtaalam pia.lakini sikushawishi kuamini ninacho amini kama wewe binafsi hujaamua kuamini.
ReplyDelete..Namuunga mkono "anon" wa 5.25pm...ni kweli dunia inapotosha watu...hao nyani hadi leo hawajabadlika kuwa watu...ni THEORY tu iliyotokana na CONCEPTS za kuunga unga tu!! hakuna "EMPERICAL EVIDENCE"...hiyo inaitwa THEORY of DAWNISM!!!...today watu wana SCIENTIFIC evidence kwamba binadamu alitokana na kuumbwa na udongo (jaribu ku-search ktk internet utapata jibu)... kama ambavyo Quran inasema!!..binadamu aliumbwa kwa udongo na atarudi kuwa udongo.
ReplyDeleteMimi nina swali tu jamani. The theory of Darwin says kwamba binadamu wote tulitokana na Nyani. Haikusema wala kubagua ni watu wa aina gani. Ni kwa nini sisi waafrika/watu weusi tunahamaki na kuchukia sana pale tunapohusishwa na nyani kuliko watu wengine wowote?
ReplyDeleteMa'man GADO, you never cease to amaze me.I am always impressed by your IMAGINATION.
ReplyDeleteHe it is Who hath created man from water, and hath appointed for him kindered by blood and kindered by marriage, for thy Lord is Omnipotent(SAW)25:54
ReplyDeleteWakatabahu
Please be informed that GADO's cartoon is a re-publication of many other publications by other artists.
ReplyDeleteThat the evolution theory is questionable, is subject to ones beliefs and scientific knowledge.
But one thing is for sure-MAN developed through all the stages of hunters and gatheres.The other sure thing is the rapid scientific development ingenetic engineering-the cloning of sheep is the surest thing of things to come.It is only a matter of time that humans will now be cloned! It takes a rogue and mad scientist to create a human being!!!Frankenstein is just round the corner
kwanza kabisa wewe anony wa july 18 saa 05:25AM napenda nikuhakikishie kuwa binadamu hajatokana na nyani. pili nijibu swali lako kuhusu kwanini waafrika tunahamaki kuhusishwa na nyani. kwa kifupi kuna msemo usemao kwamba kile unachokisema hakibebi uzito wa ujumbe,ila jinsi unavyofikisha huo ujumbe ndipo uzito ulipo na unaweza kusababisha madhara kutokana na jinsi unavyofikisha ujumbe wako.
ReplyDeletehuenda wewe hujaishi ktk maeneo ambapo mtu wa rangi nyeusi anabezwa kwa kuitwa jina la nyani ukajisikia inavyouma.labda tu ni kushauri ujaribu kutembea ukutane nayo ili usikilizie mwenyewe kwako ndipo utaelewa huwa inakuwaje,kutokana na mazingira utayofananishwa na huyo mnyama,kisha utathmini ubinadamu wako ukowapi huku ukitambua kuwa anayekudhalilisha kwa kukupa hadhi ya mnyama ni binadamu kama wewe chini ya jua,ila tofauti zenu ni katika baadhi ya gene zilizobadilika kutokana na mazingira fulani(mutation) na kuendelea kurithiwa kizazi hadi kizazi,na kufanya muonekane tofauti.
swali kwako:je unadhani albino anajisikiaje pale anapowindwa kama mnyama kwa ajili ya kupata viungo vyake ili vikatumike kufanyia uchawi?je yeye kuwa na mutation ktk melanocytes zake zinazo zalisha rangi nyeusi kunamfanya awe na hadhi ya chini tofauti na wewe?je akihamaki kwa kutopewa uwiano sawa na wewe anakuwa hayuko sahihi?
ukijibu maswali yangu hayo hapo juu,utakuwa umeanza safari njema kuelewa kwanini tunahamaki tunapo fananishwa na kubezwa kwa kuitwa jina la mnyama nyani.
Mdau uliyetaka kujua kwanini nyani hawabadiliki kuwa binadamu, "Evolution" is a process which takes millions of years to produce a visible changes, unless you live on planet earth for all those years then you will notice that monkeys are changing, as much as we keep changing. We are still evolving.
ReplyDeleteKuhusu mvutano wa "evolution" na "creation"; Evolution is a theory and NOT a FACT.
Creation is not even a theory, never mind a fact, its just a fabricated story. For I, as a scientist, whenever I think scientifically, I find it impossible to understand God, and between a theory and a story, I would rather believe on a theory.
anony wa july 19 saa 5:00pm pamoja na kuwa wewe unadai ni mwanasayansi na hukubaliani na creation,mimi pia ni mwana sayansi na nakubaliana na creation. hii ni kwasababu ktk majaribio machache yaliyofanywa kwa kutumia ndege(viumbe hai),ili kuona kama midomo yao inaweza kubadilika ili kuadopt mazingira mapya,imechukua miaka 200 na kutoa a very slight changes both qualitative and quantitative. na kama unaupeo ktk molecular biology, bila hatakutumia nguvu nyingi sana utagundua kwamba viumbe vingi ukianzia na unicellelar hadi multicellular vimeumbika kwa utaratibu na kwa mpangilio wa hali yajuu,ambao ikitokea mtikisiko kidogo tu unapelekea ktk mabadiliko ya system nzima ya kiumbe husika,na kwa maranyingi hupelekea ktk negative side kuliko positive side.na ktk maabara za kitalaam pamoja na majaribio mengi yanayofanyika,hakuna hata jaribio moja ambalo limeweza kuzalisha a completely new specie. sitaki kuzungumzia hili kwa kina maana itahitaji nafasi kubwa ikibidi hata page 100 kukuchambulia evidence zangu kwa hikinilichosema. na kama wewe ni mtalaam wa microbiology basi nadhani tukiongea tunaweza kuelewana vizuri zaidi,ilituwaguse hadi plasmids na function zao.
ReplyDeletelakini uumbikaji huo na na mutation zinazo vuruga system nzima zinareflect kitu kimoja muhimu ambacho mimi kama mwanasayansi nalazimika kukipa uzito,nacho ni kwamba huu uumbikaji hauwezi kuwa accidental,lazima kuna design na engineering ya hali ya juu ambayo imetumika na uwezo ambao binadamu wa kawaida hana,sasa inapofikia ktk hiyo nguvu ya nature yenye uwezo wa kudesign vitu ktk hali hii ya juu,nalazimika kuikubali kuwa ndiyo muumbaji mwenyewe. maada alikuwa na plan of what he wanted to create,and the way it should function under normal circumstances.vinginevyo violation ya law moja ktk arrangement lets say asingle molecule of amino acid, isinge weza kupelekea mutation na deffect kwa kiumbe kiasi hicho.na bado kiumbe hicho hakibadiliki na kuto retain muonekano wa nje wa viumbe vya aina yake,mathalani binadamu afanane na nyani,sanasana kama ni black basi ataonekana white mfano albino,au down syndrome n.k
so in short nakubaliana na creation,maana the truth suggest it tobe reflected from scientific data collection,though not proved in the lab,and there shall never be that time to prove God in the lab,unless he let it be as a miracle for someone to believe.that is why is left to be faith,whose source is hearing and not seeing. and te altimutum test is set to be obidience or disobidience that is all.then the decision is individual based on what your heart and your brain tell you.
My friend the scientist
ReplyDelete"You think scientifically" that is your limitation, for you are using intellect and reasoning, aql in Arabic or akili in Swahili.That will limit your understanding of the deeper meaning of life and existance. You have to understand the depth of yourself then you will understand the "REST"The Prophet (Pbuh) said manarafa nafsuhu laqad arafa Rabbahu
Take a deep dive my friend and discover what lies deep down beyond the reach of normal cerebral functionality
The easy way out is to go on denial and sick to the basics..one plus one is two.
Wakatabahu