Home
Unlabelled
rais kibaki afungua harambee plaza leo dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wadau huu ubalozi uko wapi? nataka nije nikaombe visa ya kwenda kenya, ah haaa
ReplyDeleteHili Jengo liko maeneo yapi hapo dar? Mkabala na wapi? Nitashukuru atayenifundiha/atakaenielimisha, Asante
ReplyDeleteKaunda drive/Ali Hassan Mwinyi road. when you are coming from city centre, its few meter before Multichoice Tanzania
ReplyDeleteNadhani lipo oysterbay, barabara ya Ally Hassan Mwinyi kwenye kona ya barabara ya Kaunda
ReplyDeleteLipo katika kona ya barabara za Ali Hassan Mwinyi na Kaunda (drive). Kama unatokea Mwenge kulekea Posta (Mwinyi road) hilo jengo ndio la kwanza/mwisho kabla haujaigusa Kaunda drive (kuelekea Oysterbay/Masaki. Nadhani anony (02:39:00) umenielewa. Tanzania (kupitia NSSF Tanzania )pia twajenga Tanzania House huko Nairobi
ReplyDeletehttp://www.dailynews.co.tz/columnist/?n=1955&cat=columnist
Tanzania (kupitia NSSF Tanzania )pia twajenga Tanzania House huko Nairobi
ReplyDeletehttp://www.dailynews.co.tz/columnist/?n=1955&cat=columnist
Wa Tz bwana, kwani mashindano??? Si lazima tujenge nasisi; labda ikitumika fedha iliyorudishwa na mafisadi.
ReplyDeleteTarehe Fri Jul 17, 04:34:00 PM, Mtoa Maoni: tanzanianboy'
ReplyDeleteAsante sana. Lakini sijaelewa sawa sawa kwani haya maeneo ni ya ofisi au makazi? Je hapo kona au junction ya kaunda drive/mwinyi highway (ha ha ha) si ndio dala dala zinapindia kwenda masaki? Si ndio hapo alikuwa anakaa spika (late) mkwawa na jirani na msekwa? nifahamishe, usichoke!
Kwa wanaotumia dala dala hilo jengo wanalijua sana. Liko pale zinapoingilia dala dala za Masaki.
ReplyDeleteTanzaniaboy nimefurahi kusikia kwamba Bongo na sisi tunashusha kitu Naii ... maana matusi haya lazima tujibu.
JAMANI HV CC 2NAJENGA BALOZI ZETU NJE ZA NJE NZURI HV WAKATI BAADHI YA WZR ZE2 CHOKA,KWEL ZIMETIMIA KWA HEAD.sasa huo ubalozi na gari ya odinga si zimepishana kidogo tu,ndo 2mepunguza ma2mizi kweli?aaah wakenya tumetokota au wa tiziii unasemaje
ReplyDeletejengo nzuri sana jamani, wenzetu pamoja na vurugu zao lakini mambo yanakwenda mbele.Hawana akina 'MAHALU' wengu kama sie hapa TZ
ReplyDeleteMangi wa K'koo
Ubalozi wa Tz Ug. choka mbaya!
ReplyDeleteHapa DC ni aibu tupu,hadi bendera yetu imepauka rangi.Tunashindwa kuweka hadi bendera mpya.Yaani kimtaa chenyewe kimebana sana pale R-street.Kajengo kenyewe kalijengwa karne ya 18.Ningependa kuwawekea picha wadau lakini naogopa mtapata nightmare,wakati US ndio inatoa msaada mkubwa kwa TZ kuliko nchi zingine.Michuzi naomba tuwekee picha za balozi zetu zote ili tujioonee ikiwezekana tupige kura upi mzuri kuliko yote na upi mbaya kuliko zote.
ReplyDeleteWenye kulilia vya usasa, hamtaendelea! Kikizeeka tu, tupilia mbali. Ego-satisfaction = now and right now!
ReplyDeleteBaada ya miaka mitano, bomoa, jenga jipya! Tunashindana kukogana! Ni nani mwenye latest model na hali vingine hatuvitenegezi!
Naungana na anon hapo juu, yaani ni aibu ubalozi wa TZ pale DC, huwezi jua ni ubalozi au ni jumba la maonyesho. mdau pls dont show this pic watu wataota kweli si utani.
ReplyDeleteGreat idea anony wa 07:24. Anko Michu, tafadhali kama unaweza tupatie taswira za balozi zetu zilizopo nje ya nchi. Balozi zetu ndio image ya nchi yetu tuipendayo. Hivyo basi, tuboresheni jama!
ReplyDeletemithupu weka na picha za ubalozi wetu Kenya plz!
ReplyDeleteKaubalozi ketu pale Dc ni aibu tupu...kuna kakepeti chekundu kamechoka ile mbaya, halafu kuna kamlango kwenda kwa receptionist nako kamechoka kama mbavu za mbwa, na ile chandalia aibu tupu...kuna vibalbu kama 50 lakini labda 30 ndio vinafanya kazi...halafu kuna vijitabia ujinga kwa wafanyakazi hapa sio mchezo...maana wanamajibu yakuchosha ilembaya. Kabendera kamechooka na hakitabadilishwa ili kuthibitisha kuwa tuko hoi na tunahitaji misaada.(Michuzi ibanie na hii)
ReplyDeleteWote mmeongea na kusahau kitu kimoja, US wamejenga bonge la Ubalozi bila ya nyie kuuliza maswali muhimu kama je jengo kubwa kama hilo la nini? jibu ni moja, ku-spy Tanzania na Africa kwa ujumla.
ReplyDeleteMmefanya kosa lingine kwa Kenya, nao hivyo hivyo Wamejenga bonge la ubalozi lenye nia kubwa na moja ya kuongeza mashushu watakao kuja kuichunguza Tanzania kwa ukaribu.
Wabongo hayo ndio mambo ya kujiuliza na sio kuangalia uzuri wa jengo, cha msingi ni kwa Serikali kuwa karibu na macho kwa balozi zote, Hakuna ata moja ninazo ziamini haswa haswa watu wenye kubeba majina kama diplomat..
It is time to wake up.
Maendeleo ni fikra za watu; haya majengo si lolote si chochote.
ReplyDeleteni nini kimewavutia bongi wakaamua kuinvest that much?
ReplyDeletesisi mweeee maubalozi yetu ni kwenye briefcase tu ....teh tehtehhh...mnamkumbuka yule baba aliyekua na form za kuomba passport mpya....mwenyewe kapangisha kwenye motel...unaingia anafungua briefcase yake anatoa form chwaaaaaa lipa shughuli inaisha.
Nadhani hata ile motel siku ile ilijiuliza mbona leo kuna traffic hivi...watu wanaingia chumbani na kutoka na makaratasi...naona walishindwa kuelewa kwavile kama ilikua biashara ya massage basi walikua wanapewa wanaume kwa wanawake
Haaa, Anko Michu! Siamini comment yangu umeibania au nlikosea kutuma. It was only an idea though, atleast tuone taswira za balozi zetu nje ya nchi zikoje! Anyways, wikiendi njema.
ReplyDeleteNCHI MASIKINI SINAPOTEZA PESA ZA WALIPA KODI PASIPO SABABU, WAKATI WATU HAWAENDI SHULE, HAMNA DAWA KWENYE VI-CLINIC, HAMNA MAJI SAFI, HAMNA BARABARA, WATU HAWAFUNDISHWI KILIMO BORA NA BIASHARA NDOGONDOGO, HIVYO NI VYANZO VYA KUTOLESHEA PESA WAKUBWA, MAHESABU YANACHANGANYWA HUMO HUMO, KWANI WAKIJENGA TWIN TOWER NYUMBANI WATU WATAFUATILIA MAHESABU HEWA HUKO MBALI WANAKULA KAMA VILE KUMSUKUMA MLEVVI AU KUSUKUMA TEMBO KWA UBUWA, NI WIZI TU.
ReplyDeleteAnonymous unaeyezungumzia USA na u-spy, USA hahitaji kuwa na ubalozi kufanya u-spy, wana kila aina ya vifaa ya kujuwa kila kitu kinachoendelea katika nchi yoyote hapa duniani. I am here ughaibuni lakini naina nyumba yangu huko Mbongo/Mbezi Beach kupitia sattelite maps za wa USA sasa hujiulizi walifanyaje, naona hata nyumba za kijijini kwetu MTWARA na hata kibanda cha mzazi wangu kinaonekana, sasa hawa watu wanahitaji ubalozi kufanya upelelezi????
ReplyDeleteLMFAO? Barabara ya Ali Hassan Mwinyi road! shule muhimu jamani
ReplyDeleteHahahaha kweli shule muhimu Mtaa wa Kajima Streets kwakwakwa Barabara ya Ali hassan Mwinyi Road(barabara).
ReplyDeleteMdau wa Tarehe Sat Jul 18, 03:21:00 AM, Kuna aina mbali mbali za ku-spy ukitegemea satellite peke yake utauziwa kanya boya, angalia Iraq, walisema Sadam ana WMD's! zipo wapi? So ktk kufanikisha kile unacho-spy unahitaji pia manpower ktk sehemu husika watakao ku-feed kila issue in details...Satellite hizo hizo zimeshindwa kugundua N. Korea ana bomu mpaka pale walivyo fanya test not only once but two times, without forgeting Iran as well...aahahha..Siongei sana, bali ni hayo tu.
ReplyDeleteNazungumzia kwa kutumia experience.
...........Barabara ya Ali Hassan Mwinyi road?
ReplyDelete