Home
Unlabelled
mambo ya nathan mpangala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
utavunjika guu!!.... pia watu wanaotumia mikorogo chonde jamani . mikorogo destroys the black pigment found in the epidermis (top layer of the skin). ambayo exposure ya dermis layer, underneath the epidermis layer, to the harsh weather (Jua Kali la bongo or elsewhere) will increase the incidence of skin cancer!
ReplyDeleteha ha ha ha haaaa. Yani sikuhizi kila ukionaviburudisho vimejazia bomba kinoma najiuliza kulikoni kwanini zamani haikuwa hivi??
ReplyDeleteJamani kumbe nanyinyi ni feki??? Ninampenzi feki??? Hakianani sitaki tena mwanamke mwenye makalio....nimekoma...atakuja kunipa shida baadae yakuuguza kumbe ugonjwa wakujitakia. Naenda kumuacha leo hii hii
Yani ndio wanashtukia leo hii kuwa kuna makalio na matiti feki. Mmechelewa sana. Mbona wengi tuu umeshauziwa mbuzi katika gunia???!!!
ReplyDeleteDuh! nilifikiri ni vifaa vya kichina tuu feki kumbe kuna binadamu pia! Hii balaaaaaaaaaa.
ReplyDeleteInahitajika kukomeshwa, Pia inahitajika Serikali ifuatilie dawa hizi zinapita wapi kwani Serikali inajitahidi kupiga vita magonjwa kama cancer lakini kunawatu walio na roho zisizo na utu wanaleta madawa yenye madhara kwa binadamu.
Serikali, TBS mpo wapi kusimamia suala hili? Tunaomba msaada wenu kwani baada ya miaka kadhaa wenye magonjwa ya cancer watakuwa wengi Hospitali zetu zitalemewa zaidi japo pia sasahivi zishalemewa.
Tunaomba kutiliwa mkazo suala hili na anayekamatwa anauza dawa hizi achukuliwe sheria.
Pia kuna dawa za kupunguza tumbo (CREME) Ukitaka shepu ipungue unapaka. Tunaomba uchunguzi ufanywe.
Raia wema tunaomba tushirikiane kufichua dawa hizi kwani Inasikitisha tunapoelekea.
Hivi ni kwanini tusijiulize hawa Wachina wenyewe wamepigwa pasi makalio kinoma sisi hapa tukiwa hatuna makalio tunahafadhali kwani ya Wachina yamezidi Ni kwanini wao wasitumie kuongeza makalio yao wanaridhika kukaa vile vile?
Je nikwanini sisi tuwe wajinga kiasi hiki? Kwanini wao watuletee vitu vyakutuangamiza?
Waafrika, kinadada tubadilike, naamini hata ukiwa vipi ni kujiheshimu, kujitunza, kuwa smart basi utapendwa.
Yote hii ni kuwa na tamaa za pesa kutoka kwa wanaume si kingine. Tuko tayari kujiharibu, kuhatarisha maisha kisa mwanaume atuone tunamakalio makubwa, mtindi mkubwa, rangi nzuri ili tutamaniwe na wengi tutongozwe tuhongwe tupate pesa.
Wanawake tujitume katika kazi tutafanikiwa tuachana na hanasa hizi zinazotuletea madhara kila leo bara letu la Afrika.
Jamani nitajuaje huyu ni feki na huyu ni Original?
ReplyDeleteutamjua ukiwa nae beneti yan humpi time awe pekee mana ndo atakunywa izo dawa...hahahaaaaa
ReplyDeletenimecheka sana,ivi kuna watu wanayataka eeeee!!mwishi muwe kama michael jackson na LUPUS aloipata
mnafikiri mchezo