Home
Unlabelled
mdau ayoub mzee katika vekesheni bongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Big Up Lady Jay dee siku unapendeza sana.
ReplyDeleteMkuu wa nani hii hilo kofia kakuletea Ayub mzee kwani hayo sio mapigo yako.
ReplyDeleteMkuu wa wilaya ya Nanii naona hicho kitambi kinakujia vibaya. Fanya tizi, au ndio unahamia kwenye Upedejee? Naona mashavu dodo!
ReplyDeleteAyoub Mzee, fanya mazoezi, weight hiyooo !
ReplyDeletejamani huyo ayubu mzee kwa wanaomjua hivi ana matatizo ya akili kidogo maana jamaa kujisifia kwingi yaani simuelewi.tulikutana nae ktk bash moja basi ohh mimi sijui nafanya kazi wapi mara totoz yaani mpumbavu tu.
ReplyDeletemmependeza, ila duniani wawili wawili,mkuu wa nananii umefanana kidogo na Arlus Mabele, na A.Mzee kafanana na Notorious B.I.G( Christopher Wallace)ila tu A.Mzee na mkuu wa nanii ni more hendisamu dhani ze twu pipo menshenidi.
ReplyDeleteKingine:
Kofia uliyovaa mkuu wa naniii ilitakiwa aivae A.Mzee na kofia aliyoivaa A.Mzee ingetakiwa uivae wee mkuu na nanii, naona hapo ingependeza sana kwani jaketi uliyovaa hiyo nyeupe ingeenda na kofia aliyova A.Mzee. na ukiangalia jaketi la A mzee linaendana na kofia uliyovaa wewe.
P.E.D
michuzi huyu Ayub Mzee mmefanana sana,hasa pua
ReplyDeletewajina naona ushaanza kumfundisha ayubu kuvizia minuso,kutua bongo na minuso.alafu wajina uyu ayubu ni yule ayubu mzee aliekua anaichezea simba sc?
ReplyDeleteDuh huyu Mzee Ayubu Mzee Ana Cool Lazy face
ReplyDeleteAyub Mzee si yule Mchezaji wa Simba.
ReplyDeletehuyu ni wa hapa Uingereza ni mtu makini na mchapa kazi mkubwa hasa kuitangaza EAST AFRICA.
MKE WAKE NAYE NI KADA MKUBWA WA CHAMA ANAITWA SUSAN MZEE.
Yaani mdau hapo juu hukukosea, kikweli Ayub M na mkuu wa nanihii wamefanana sana MAPUA.
ReplyDeleteIlikuwa Arusi ya nani?
GJK
ayub mzee picha hii uko na Lady jeyde akiona mamsapu SUSAN MZEE utapona?
ReplyDeleteAcheni Uzushi, Wabongo SUZANE MZEE ni Mke wa MBARUKU na wanakaa READING, Ayoub Mzee mke wake ni mwingine kabisa ,sena surname zao Ayoub na Suzanne Ndio zimefanana ,hawana uhusiana wowote ule labda wa kichama ( C.C.M ) Kama upo nukta
ReplyDeleteNI MTAZAMO WANGU TU
Kidumu chama cha Mapinduzi...
Picha ya mwisho: Bwanae, vipi mbona pale umemshika mke wangu muda mrefu, kuna nini kinaendelea?
ReplyDelete`Hhaaa, acha wivu, mbona humuonei wivu akiwa jukwaani. hhhha
'Ninatania ....
Angalau anko nanihii ulipendeza katika harusi hii, manake ungeniudhi na ze fulanaaaz
ReplyDelete