Miss TZ 2007 Richa Adhia akiwa na warembo wataowania taji la Miss Kinondoni 2009. Hapo wako kambini Giraffe Motel Mbezi Beach, Dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2009

    mh wamependeza sana, eh tanzania kuna wadada wazuri, keep up gilrs GK changamkia hapo tenda

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 19, 2009

    Wamependeza eenhe! Welcome to the World.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 19, 2009

    jamani huyo dada na sweater la green hakusikia joto na jua la bongo???!!! nika swali tu

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 19, 2009

    Acha ushamba wewe 0600am. Sio sweta hili ni special gauni thamani yake siitaji maana waweza kwenda polisi bureee kwa jinsi ulivyochachawa!Watu walitumia shule kumchagulia hilo vazi.

    ReplyDelete
  5. mkanushajiJuly 19, 2009

    hivi kwani lazima mrembo anayeshiriki lazima awe na nywele ndefu au mi sihelewi hapa naona karibia wote wameweka nywele za banbia au haya mambo hayakutoka kwetu basi tunaiga wezetu wazungu kuna nini hapo tafadhali naomba ufafanuzi maana hata nywele fupi pia ni nzuri hata natural rasta ni nzuri kama zikiwekwa katika hali nzuri na pia nyele zetu pia za hasili ni nzuri pia zikiwekwa vizuri embu tubadilike jamani tuwachu kuwa watumwa wa tamaduni za wenzetu afrika tuamke sisi ni wazuri ni swala la kujiamini tu tusiburuzwe hata afro pia linalipa likitengenezwa tuakwenda wapi sisi mbona kila kitu tunaiga tukijidhamini na wenzetu watatudhamini

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 20, 2009

    Haya ni mashindano ya U-Miss, kikwetu hatuna mashindano kama haya tunaiga, kwahiyo kama twayapenda ni budi tufuate kama yalivyo nywele ndefu,vichupi,wembamba etc habari ya afro,nywele fupi, kujiamini peleka kwenye sekta nyingine au sio ndugu yangu MKANUSHAJI??

    ReplyDelete
  7. MkanushajiJuly 20, 2009

    NIMEKUELEWA ANONYMOUS WA SAA 04:40 AHSANTE KWA KUNIELEWESHA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...