Home
Unlabelled
Miss kinondoni 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mh wamependeza sana, eh tanzania kuna wadada wazuri, keep up gilrs GK changamkia hapo tenda
ReplyDeleteWamependeza eenhe! Welcome to the World.
ReplyDeletejamani huyo dada na sweater la green hakusikia joto na jua la bongo???!!! nika swali tu
ReplyDeleteAcha ushamba wewe 0600am. Sio sweta hili ni special gauni thamani yake siitaji maana waweza kwenda polisi bureee kwa jinsi ulivyochachawa!Watu walitumia shule kumchagulia hilo vazi.
ReplyDeletehivi kwani lazima mrembo anayeshiriki lazima awe na nywele ndefu au mi sihelewi hapa naona karibia wote wameweka nywele za banbia au haya mambo hayakutoka kwetu basi tunaiga wezetu wazungu kuna nini hapo tafadhali naomba ufafanuzi maana hata nywele fupi pia ni nzuri hata natural rasta ni nzuri kama zikiwekwa katika hali nzuri na pia nyele zetu pia za hasili ni nzuri pia zikiwekwa vizuri embu tubadilike jamani tuwachu kuwa watumwa wa tamaduni za wenzetu afrika tuamke sisi ni wazuri ni swala la kujiamini tu tusiburuzwe hata afro pia linalipa likitengenezwa tuakwenda wapi sisi mbona kila kitu tunaiga tukijidhamini na wenzetu watatudhamini
ReplyDeleteHaya ni mashindano ya U-Miss, kikwetu hatuna mashindano kama haya tunaiga, kwahiyo kama twayapenda ni budi tufuate kama yalivyo nywele ndefu,vichupi,wembamba etc habari ya afro,nywele fupi, kujiamini peleka kwenye sekta nyingine au sio ndugu yangu MKANUSHAJI??
ReplyDeleteNIMEKUELEWA ANONYMOUS WA SAA 04:40 AHSANTE KWA KUNIELEWESHA
ReplyDelete