Pichani ni warembo watakaochuana siku ya tarehe 7/8/2009 ijumaa, pale Yatch Club jijini Mwanza kwa mpambano mkali wa kumsaka atakae mvua taji Miss TZ 2008 Nasreen Karim ambaye pia anashukilia taji la Miss Mwanza. Hakika mchuano unaonekana utakuwa mkali kwani washiriki woote wako bomba saaana!!

JE KANDA YA ZIWA INAWEZA KUTOA TENA MISS TANZANIA 2009? MATUMAINI YAPO TUNAWAOMBEA WAFANYE VUZURI HESHIMA IRUDI TENA KANDA YA ZIWA.

Kwa picha zaidi tembelea:
florasalon.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2009

    kama judge wa kujipendekeza mwenyewe kwa macho yangu nimepitisha wafuatao kimpangilio kuanzia kwa wakwanza ktk mstari(mwenye black}kulekea wa mwisho ktk mstari (baada ya njano.)
    waliofuzu round ya kwanza ni namba:- 1,4,5,6,7,8,9,na 11. mlio achwa nje jaribuni ena safari nyingine! just kidding

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 31, 2009

    Dah, Hatimaye leo na mie mla ugali kwa picha ya samaki nimekumbukwa!!!! PAJAZZZZZZZ!!!! ka usingizi katakuwa kanono!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 31, 2009

    sasa hou ndiyo mamiss angalia the legi!s very beatiful I real like them! and fresh too. mamiss kinondoni hakuna kitu hapo!

    ReplyDelete
  4. NIKIRUDI NI KUCHAPA TU.KAMUA KINOMA..WE SUBIRI NIMALIZE SHULE YANGU...::::::::::::)

    ReplyDelete
  5. mamiss wako njema historia ikijirudia tena ni poa tuu mamiss wako poo miguu safi sana wanameremeta

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...