Pichani ni warembo watakaochuana siku ya tarehe 7/8/2009 ijumaa, pale Yatch Club jijini Mwanza kwa mpambano mkali wa kumsaka atakae mvua taji Miss TZ 2008 Nasreen Karim ambaye pia anashukilia taji la Miss Mwanza. Hakika mchuano unaonekana utakuwa mkali kwani washiriki woote wako bomba saaana!!
JE KANDA YA ZIWA INAWEZA KUTOA TENA MISS TANZANIA 2009? MATUMAINI YAPO TUNAWAOMBEA WAFANYE VUZURI HESHIMA IRUDI TENA KANDA YA ZIWA.
Kwa picha zaidi tembelea:
florasalon.blogspot.com
kama judge wa kujipendekeza mwenyewe kwa macho yangu nimepitisha wafuatao kimpangilio kuanzia kwa wakwanza ktk mstari(mwenye black}kulekea wa mwisho ktk mstari (baada ya njano.)
ReplyDeletewaliofuzu round ya kwanza ni namba:- 1,4,5,6,7,8,9,na 11. mlio achwa nje jaribuni ena safari nyingine! just kidding
Dah, Hatimaye leo na mie mla ugali kwa picha ya samaki nimekumbukwa!!!! PAJAZZZZZZZ!!!! ka usingizi katakuwa kanono!!
ReplyDeletesasa hou ndiyo mamiss angalia the legi!s very beatiful I real like them! and fresh too. mamiss kinondoni hakuna kitu hapo!
ReplyDeleteNIKIRUDI NI KUCHAPA TU.KAMUA KINOMA..WE SUBIRI NIMALIZE SHULE YANGU...::::::::::::)
ReplyDeletemamiss wako njema historia ikijirudia tena ni poa tuu mamiss wako poo miguu safi sana wanameremeta
ReplyDelete