maji bwerere a.k.a bwelele...
bili? bili ndio nini??
mahindi yanakua kwa umwagiliaji.
Tukale Polisi?!?!

Mkuu wa wilaya ya nanihii, hivi kwa kweli kabisa mipaka ipo wapi? Hizi picha zimepigwa mida ya jioni ya tarehe 16 huku sehemu za Mbezi Beach, Dar. Zinaonesha jinsi wadau wanavyohangaika na maisha kwa kujilimia bustani za gaden za mbogamboga kama vile mchicha na kadhalika.

Maji bwerere, ila wasiolipia bili wanalima bustani za mboga mboga kwa kukata mabomba ya walipa bili. Yaani wameanzisha mfumo wao wa umagiliaji. Kumwagilia jambo moja, kuwanyima walipia bili maji ni jambo jingine tofauti. Achilia mbali madawa wanayopulizia kwenye mboga hizi. Napenda mboga mboga ila mmh...kulala bila kuoga noma.

Maswala haya tumeripoti Dawasa weeeeeeeeeeeee.... wapi! Sijui wanakula dili na hawa jamaa....haieleweki. Jamani twafa!

Nafahamu kuna haki ya kufanya kazi [ibara 22] lakini haki yeyote haipaswi kuingilia haki ya mtu mwingine.

Nikinukuhu ibara ya 30(1) ya katiba yetu:
“haki na uhuru wa binadamu ambavyo misingi yake imeorodheshwa katika katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania havitatumiwa na mtu mmoja kwa maana ambayo itasababisha kuingiliwa kati au kukatiza kwa haki na uhuru wa watu wengine au maslahi ya umma”

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2009

    is as simple as a,b,c, they must be prosecuted, and is not a job of DAWASA alone even you guys you could shop them to relevant establishmemts. That is wrong and absurd.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2009

    mkiambiwa bongo tambarare hamuamini,mambo kama hyo hakuna huku ulaya.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 17, 2009

    Wewe uliyepoteza muda wako kupiga hizo picha acha upuuzi, you know that you're in third world country then you should know that bills are non Existent. Bongo tambararee nyoko

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 17, 2009

    WANAFAIDI MATUNDA YA UHURU WA TANZANIA,MBONA WAKUBWA HAWALIPI BILI ZA MAJI?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 17, 2009

    This is just one of many problems that shows how the system works. Kaka/Dada... to combat these problems and many others facing the nation, local communities etc. look at the source. Ask yourself ...does anybody in the authority cares....or only when one of the top officials is affected by it?. If your answer is they don't...use the broadcasting networks to air your concerns. Sio wengi wanasoma mtandao lakini wengi wanaangalia tarifa, matukio n.k. kwenye TV, ongea na hizo broadcasting medias. These are the tools for one to be heard loud and clear... because probably they are many others but nobody takes the time to parsue that option

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 17, 2009

    HIVI WEWE MICHU HIVI HUNA BESIDEI?

    KILA SIKU KULA MINUSO YA WENZAKO?

    HEBU ANZAA BESIDEI YA BLOGU YETU

    TUJE TUJIBALALUE KAMA UMEFULIA

    SEMA TUKUDHAMINI

    WEWE KILA SIKU MALA UKO MA ABROAD

    UNATURINGISHIA MIKONOZIIIIIII

    HEBU ANDAA BASIDEI TUJICHANE

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 17, 2009

    Ooooooops .. ushomile bwana...

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 17, 2009

    Umepiga sawa ila naona unataka kufungisha wenzako.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 17, 2009

    Hili ni jambo serious sana katika jamii yetu. Ni wazi kwamba maafisa wa Dawasko wanahusika na uhalifu wa aina hii. Na sio bustani tu, nadhani tatizo kumbwa ni hawa wanaofyatua matofali. Ukipita barabara ya kuelekea kibaha, sehemu nyingi wanazofyatua matofali, mfano Kwa msuguri, mbezi mwisho, mbezi Inn, Magari saba, Kibamba nk, ni mito mikubwa hadi mafuriko (man made from mabomba), huku watoto wakikosa shule kwa ajili ya kutafuta maji safi!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 19, 2009

    i hate policies that FAVOURS few,creating social IMBALANCES!!!
    unapointrudyuzi WIRELESS TECHNOLOGY tanzania wakati MAJORITY OF PEOPLE hawajui hata hio computer ni nini what do you EXPECT???..
    yanakuja hapa ooh sijui mie ni IT technitician/programar blah blah...mnafikiria matumbo yenu tu,dont you??you selfish LOT!!!...tena bila kuficha hio selfish attitudes mlizonazo mnakuja humu kubwabwaja,eti mkale wapi kaleni MAJALALANI!!,kwani wanaoshinda bila MLO wamemkosea nini MUNGU??...mbwa nyie!

    you just dont make FEW RICH to be RICHER..you will rather make sure the poor have ACCESS to SCHOOL(secondary),CLEAN WATER AND MEDICAL CARE!!!!!

    na mtanichukia saana ila i will always stand for the TRUTH...(you will have few enemies when you do that...but do i care? NO!!..badala ya kuexploit nishati ya umeme na kumake sure kila mtanzania anao nyumbani kwake na access to water mnakuja na upuuzi wenu wa wireless technology...chaaaa its more like WASTE OF TIME/RESOURCES/ENERGY!!!...ni sawa na kumpelekea mmasai anayetegemea kilimo na ufugaji kusukuma siku zake...DISH la chanels tofauti za TV!!!...ni upuuzi kwa kweli...!!!!
    hio mipuuzi MICHACHE inashangilia kwa sababu inajua sasa itanunua magari mengine na kuoa wake wengine kutokana na huo ulaji..!!ilivyo SELFISH inasahau..hio heavy OUTPUT/INVESTMENT/CAPITAL iliyotumika kuleta unnecessary technology ingetumika kuhakikisha kila kitongoji kina shule,hospitali na kila nyumba ina umeme..hata kule vijijini!!...

    'opportunities for all'...(learn this line untill it sticks to your head you SELFISH LOT!!!

    MDAU-BHAM!
    (vijembe vyenu wewe issa michuzi na huyo shankumpe mwenzio wa 8020 fashions blogspot..WILL GET you nowhere..KALUMEKENGE NYIE!!..i am used to all that 'picking/bullying'...THERES' NO WORD THAT YOU WILL SAY...WHICH I HAVENT HEARD BEFORE!YOU FOOLS!!!!!!!!)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...