Bw. Lugazo Semdili, mume wa mdau wa milioni 6 wa Globu ya Jamii, Fatma Shefa,
akikabidhiwa dola 1000 kwa niaba ya mkewe aliyeibuka kuwa mdau wa milioni 6
Most read Swahili blog on earth
Bw. Lugazo Semdili, mume wa mdau wa milioni 6 wa Globu ya Jamii, Fatma Shefa,
akikabidhiwa dola 1000 kwa niaba ya mkewe aliyeibuka kuwa mdau wa milioni 6
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi ongea na jamaa akukatie angalau kalaki manake bila wewe asingeukamata huo mshiko.
ReplyDeletekwani mithupu, ukisema anapokea tsh 1,320,000 kuna dhambi, mbona ndo inasound vizuri ukizingatia vitu pesa hiyo inavyoweza kununua akiwa tz[ppp], au nawe ndo umejiunga ubeuzini. hongera kwake mheshimiwa. asizitumie zote tu bila hata kizawadi cha my wife wake.
ReplyDeleteHongera u Hongereni kwa mshiiiiko. Nakuona mwenza hapo nigaie kidogo japo masalio. Mungu awazidishiena awape zaidi na zaidi.
ReplyDeletedau Stockholm
Hapa kuna utata. Kwa nini mke asije kuchukua mwenyewe? Pesa ni za mke sio za jamaa.
ReplyDeletemichuzi hili dau kubwa unalotoa lakini nakuonea huruma kaka angu utafulia wewe be careful
ReplyDeletewatu wengine bwana, wewe umeshaambiwa mdau wa milioni 6 yupo uingereza anasoma sasa atakujaje kuchukua hizo pesa? muwe mnasoma vizuri sio kukurupuka kutoa maoni
ReplyDeletemdau uk
Kuna watu wana matatizo makubwa sana ya ujuzi wa kusikiliza (listening skills). Michuzi Hajatoa yeye pesa mfukoni, zimetoka kwa mdhamini, na Dada Rukia Mtingwa kawawakilisha wadhamini hao, pili Anayesema kwamba Mke Angeenda mwenyewe kuchukua Zawadi yake, Unasahau vipi ndani ya sekunde chache namna hii, Wameeleza kwamba Mke (mshindi wa zawadi) Yuko Uingereza, Sasa atoe nauli ya ndege kuja kupokea zawadi halaf iweje??
ReplyDeleteJamani tujitahidi sana kuwa makini na tunayozungumza, kuandika na kusikiliza. Haya ni makosa makubwa sana katika mchakato wa maendeleo. Kama huwezi kusikiliza video clip ya dakika mbili ukaelewa kwa lugha yako mwenyewe, utaweza kweli kusoma makala au kusikiliza hotuba zinazohusu maendeleo?? Mnasikiliza lakini hamsikii. Mnatazama lakini hamuoni, hizi ni dalili za upofu na uziwi.
and I thought this was product placement. Huwezi tuma pesa uingereza kutumia M Pesa?
ReplyDeletewatu wengine hawasomi kabisa
ReplyDeleteMUMJE NA MKE KITU KIMOJA, SO PESA YAO WOTE ACHENI HIZO.
ReplyDeleteKuuliza si ujinga, kama nipo nje ya nchi na sina ndugu ambaye namuamini kuja kunichukulia pesa yangu huko, ntaipataje?
ReplyDeleteMmmh Michuzi, mikonooozzzzzz hadi kwenye video picha, nilidhani ni ktk still picha tu, teh teh
ReplyDeleteduh basi hizo pesa mke azikute maana wanaume wetu wakiswahili mheeeeeeeeeeeee.utaanzakuelezwa kulikuwana shida hii mara ile wakati ukimuelezea shida zako anasema hana pesa ila matatizo yake yakwanza kujatatua wajamenii
ReplyDeleteWanaume wa kibongo chake ni chake cha mwenzake ni chetu Acheni hizo kaka zetu