Bw. Lugazo Semdili, mume wa mdau wa milioni 6 wa Globu ya Jamii, Fatma Shefa,

akikabidhiwa dola 1000 kwa niaba ya mkewe aliyeibuka kuwa mdau wa milioni 6

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Michuzi ongea na jamaa akukatie angalau kalaki manake bila wewe asingeukamata huo mshiko.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 16, 2009

    kwani mithupu, ukisema anapokea tsh 1,320,000 kuna dhambi, mbona ndo inasound vizuri ukizingatia vitu pesa hiyo inavyoweza kununua akiwa tz[ppp], au nawe ndo umejiunga ubeuzini. hongera kwake mheshimiwa. asizitumie zote tu bila hata kizawadi cha my wife wake.

    ReplyDelete
  3. baba AishaJuly 16, 2009

    Hongera u Hongereni kwa mshiiiiko. Nakuona mwenza hapo nigaie kidogo japo masalio. Mungu awazidishiena awape zaidi na zaidi.

    dau Stockholm

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 16, 2009

    Hapa kuna utata. Kwa nini mke asije kuchukua mwenyewe? Pesa ni za mke sio za jamaa.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 16, 2009

    michuzi hili dau kubwa unalotoa lakini nakuonea huruma kaka angu utafulia wewe be careful

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 16, 2009

    watu wengine bwana, wewe umeshaambiwa mdau wa milioni 6 yupo uingereza anasoma sasa atakujaje kuchukua hizo pesa? muwe mnasoma vizuri sio kukurupuka kutoa maoni
    mdau uk

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 16, 2009

    Kuna watu wana matatizo makubwa sana ya ujuzi wa kusikiliza (listening skills). Michuzi Hajatoa yeye pesa mfukoni, zimetoka kwa mdhamini, na Dada Rukia Mtingwa kawawakilisha wadhamini hao, pili Anayesema kwamba Mke Angeenda mwenyewe kuchukua Zawadi yake, Unasahau vipi ndani ya sekunde chache namna hii, Wameeleza kwamba Mke (mshindi wa zawadi) Yuko Uingereza, Sasa atoe nauli ya ndege kuja kupokea zawadi halaf iweje??
    Jamani tujitahidi sana kuwa makini na tunayozungumza, kuandika na kusikiliza. Haya ni makosa makubwa sana katika mchakato wa maendeleo. Kama huwezi kusikiliza video clip ya dakika mbili ukaelewa kwa lugha yako mwenyewe, utaweza kweli kusoma makala au kusikiliza hotuba zinazohusu maendeleo?? Mnasikiliza lakini hamsikii. Mnatazama lakini hamuoni, hizi ni dalili za upofu na uziwi.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 16, 2009

    and I thought this was product placement. Huwezi tuma pesa uingereza kutumia M Pesa?

    ReplyDelete
  9. HTTP://JAMIIFORUM.BLOGSPOT.COMJuly 16, 2009

    watu wengine hawasomi kabisa

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 17, 2009

    MUMJE NA MKE KITU KIMOJA, SO PESA YAO WOTE ACHENI HIZO.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 17, 2009

    Kuuliza si ujinga, kama nipo nje ya nchi na sina ndugu ambaye namuamini kuja kunichukulia pesa yangu huko, ntaipataje?

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 17, 2009

    Mmmh Michuzi, mikonooozzzzzz hadi kwenye video picha, nilidhani ni ktk still picha tu, teh teh

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 20, 2009

    duh basi hizo pesa mke azikute maana wanaume wetu wakiswahili mheeeeeeeeeeeee.utaanzakuelezwa kulikuwana shida hii mara ile wakati ukimuelezea shida zako anasema hana pesa ila matatizo yake yakwanza kujatatua wajamenii
    Wanaume wa kibongo chake ni chake cha mwenzake ni chetu Acheni hizo kaka zetu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...