Rais wa Kenya Mh. Mwai Kibaki akipokea maua mara bvaada ya kutua Dar leo huku mwenyeji wake akiangalia
Mh. Mwai Kibaki akisalimiana na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama
Mh. Mwai Kibaki akisalimiana na Waziri wa Nishati na Madini Mh. William Mganga Ngeleja
Mh. Kibaki akipokewa kwa vifijo na nderemo dar leo.
Kwa mujibu wa ratiba ya Mh. Kibaki jioni hii atatembelea kiwanda cha BIDCO na baadaye kukutana na Wakenya waishio nchini hoteli ya Movenpick. Kesho asubuhi anatarajiwa kufungua rasmi jengo la Ubalozi wa Kenya nchini litalojulikana kama nyumba ya Harambee House




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. MIGINGO JE???? TUPE DETAILS KIBAKI

    ReplyDelete
  2. Hapa najua PANA WENGI hivyo haliaribiki neneo. Naomba niulize. Hivi hawa watoto wanaowapa viongozi maua huwa wanapatikanaje? Ni watoto wa viongozi, ni watoto wa ma-kada, ni wanafunzi wa shule mchanganyiko za mkoani ambako huteuliwa ama wanapatikanaje?
    Blessings

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 16, 2009

    KWA KWELI HILO JENGO NI BOMBA SANA NA LIMEONGEZA HESHIMA YA JIJI.NAWAPONGEZA SANA KENYA.

    MDAU SOUTHAMPTON

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 16, 2009

    jamani situlikwishakubaliana kuwa tuachane na huu utamaduni wa kijinga wa kuwaleta watoto wadogo uwanja wa ndege kuwapokea wageni kwa kuwapa maua? sasa hii imezuka kutoka wapi tena! au ndi hizo za bongo leo tunasema hili kesho tunatenda jingine.

    ReplyDelete
  5. kaka tuwekee hilo jengo tulione please nasikia zuri sana

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 16, 2009

    WE ANON....Thu Jul 16, 06:11:00 PM
    BADO UNAKINYONGO TU HADI LEO, NILISHAKWAMBIA MTOTO WAKO SITAMCHUKUA KUMPELEKA AIPORT KUMPA KIONGOZI UA. SASA WIVU WA NINI?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 16, 2009

    Je nasi twajifunza nini juu ya ofisi zetu za ubalozi nje ya nchi?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 17, 2009

    Angaalia wenzetu ndege ya Rais;

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 17, 2009

    Tuwekee na picha ya jengo la ubalozi letu la Nairobi hapo kaka Mithupu plz!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...