Kwa mujibu wa ratiba ya Mh. Kibaki jioni hii atatembelea kiwanda cha BIDCO na baadaye kukutana na Wakenya waishio nchini hoteli ya Movenpick. Kesho asubuhi anatarajiwa kufungua rasmi jengo la Ubalozi wa Kenya nchini litalojulikana kama nyumba ya Harambee House
Home
Unlabelled
mzee mwai kibaki atua bongo kwa ziara ya siku mbili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MIGINGO JE???? TUPE DETAILS KIBAKI
ReplyDeleteHapa najua PANA WENGI hivyo haliaribiki neneo. Naomba niulize. Hivi hawa watoto wanaowapa viongozi maua huwa wanapatikanaje? Ni watoto wa viongozi, ni watoto wa ma-kada, ni wanafunzi wa shule mchanganyiko za mkoani ambako huteuliwa ama wanapatikanaje?
ReplyDeleteBlessings
KWA KWELI HILO JENGO NI BOMBA SANA NA LIMEONGEZA HESHIMA YA JIJI.NAWAPONGEZA SANA KENYA.
ReplyDeleteMDAU SOUTHAMPTON
jamani situlikwishakubaliana kuwa tuachane na huu utamaduni wa kijinga wa kuwaleta watoto wadogo uwanja wa ndege kuwapokea wageni kwa kuwapa maua? sasa hii imezuka kutoka wapi tena! au ndi hizo za bongo leo tunasema hili kesho tunatenda jingine.
ReplyDeletekaka tuwekee hilo jengo tulione please nasikia zuri sana
ReplyDeleteWE ANON....Thu Jul 16, 06:11:00 PM
ReplyDeleteBADO UNAKINYONGO TU HADI LEO, NILISHAKWAMBIA MTOTO WAKO SITAMCHUKUA KUMPELEKA AIPORT KUMPA KIONGOZI UA. SASA WIVU WA NINI?
Je nasi twajifunza nini juu ya ofisi zetu za ubalozi nje ya nchi?
ReplyDeleteAngaalia wenzetu ndege ya Rais;
ReplyDeleteTuwekee na picha ya jengo la ubalozi letu la Nairobi hapo kaka Mithupu plz!
ReplyDelete