msanii wa kizazi kipya anayekuja juu kwa kasi nakaaya sumary alonga na globu ya jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 32 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2009

    big up sana huyu dada analipa mno ana heshima halafu yupo bomba halafu full maakili na mavipaji..
    ila bro michu kwa kuongea kimapozi hujambo!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 07, 2009

    Hello Nakaya,

    Binafsi mimi ni fan wako mkubwa sana.

    Ila tu, mbona unaonekana kama ni mmama sana, wakati nijuavyo mimi you just a young woman? Tafadhali jitahidi kujikeep katika nyanja hizo.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 07, 2009

    Michuzi punguza sauti za mahaba kazini kama unataka kuhoji watu hoji sio uwaminyie sauti wanawake.

    ReplyDelete
  4. Nakaaya, nimeguswa sana na mawazo na busara zako. Nimewahi kusikiliza baadhi ya nyimbo zako mtandaoni, lakini sikupata fursa ya kukusikia ukijieleza. Nimefurahi, na nakuunga mkono, na kukutakia mafaniko zaidi na zaidi katika shughuli zako. Nchini kwetu na duniani kwa ujumla tunahitaji watu wa aina yako.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 07, 2009

    OMG this lady is so down to earth, love her. Keep it up Nakaaya and you are already blessed!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 07, 2009

    Smart conversation.....You go girl!!

    J.
    Toronto.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 07, 2009

    Kahamisha makao yake kutoka Tanzania kwenda Nairobi kwa sababu "ni rahisi kufika Somalia, Tanzania..."!

    Kiufupi anataka Wakenya wamsaidie kutengeneza mziki... aseme ukweli tu

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 07, 2009

    Nakaaya unajitahidi kwa level ya East Africa. U need to work hard kufikia kiwango kinachotakiwa. Umaarufu na ubalozi hautoshi.

    Ktk video zako unaimba umesimama wima hata uchezi. tujifunze kwa Beyonce ambaye akitunga wimbo anatunga na dancing styles na anajituma vilivyo jukwaani na kwenye video. TUNARIDHIKA SANA WABONGO NA HOME POPULARITY & CELEBRITY.

    Hakuna mbongo atakayefikia robo ya Thabeet kwakuwa tunaridhika mapema na we dont do much than ya kushiba ubalozi na umaarufu.

    Change dadangu. Haitoshi. Bongo celebrity is pokito. Go huge na be serious.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 07, 2009

    wooow..

    KEEP it UP..nakaaya!!!

    ReplyDelete
  10. WITH MR POLITICIAN IT WILL BE THE BEST SONG EVER WE NEED IT FOR 2010

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 07, 2009

    Vizuri sana Nakaaya. Umefanya vema sana kurudisha heshima yako kwa jinsi ulivyoweza kujieleza kwa ufasaha na heshima na si kujishaua kama wasichana wengi wafanyabyo na matokeo yake hujishushia heshima kwa jamii na ulimwengu kwa ujumla. Ninachoweza kukushauri ni kuwa jitahidi kutovaa hizo hereni kubwa namna hiyo. Vinginevyo good job and wish you good luck. Endelea kutunza heshima kama ulivyo sasa. HONGERA sana.

    Mdau Calgary AB, Canada

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 07, 2009

    Nakaya vua wigi hilo bwana, tunataka kiparaaaa kinakukaa vema, it took me a while to recognize ur new look.
    kweli watz tusuppotiane sio kujungua mchana na usiku. nakaya una busara sana kuliko umri wako, big up gal

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 07, 2009

    huyu dada anaheshima sana keep it up

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 07, 2009

    SO COOL,MODEST,HUMBLE AND DOWN TO EARTH..UNAWEZA KUWASILIANA NAYE TENA KUJUA NAMNA GANI TUNAWEZA KUCHANGIA NA SISI WA HUKU NG'AMBO?
    KUTOA NI MOYO USAMBE NI UTAJIRI
    SAMIR

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 07, 2009

    Anonymous was Tarehe Tue Jul 07, 05:53:00 PM inaelekea una chuki binafsi akienda Kenya kutafuta ma producer si yeye? Dunia ya leo lazima uangalie maslahi pia uongee vitu kwa ku reason! It is sad to see that kitu alichoongelea huyu dada kuwa tijitahidi kunyanyuana watanzania lakini wapi umekuja na box zima la colgate kuosha kinywa chako!FOI Tanzania sasa hivi kuna maproducer wakali zaidi ya Kenya na hiyo ni fact iliyo na statistics!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 07, 2009

    Michuzi ushauri kidogo....watu watumie ama Kienglishi au Kiswahili, siyo Kiswanglishi. Hivi kweli mtu hauwezi kusema "nchi" mpaka aseme "countries" au waliopona na badala yake anasema walio-survive? Huu ni ulimbukeni. Itoe hii ili watu wajifunze, siyo huyu dada tu, hata wachangiaji wengi humu kwenye blogu. Wewe ukiandika ni sawa kwa ababu ni mtindo wako maalum, lakini watu wengine wanafanya ndiyo dawa!!!

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 07, 2009

    nakaaya unasema watanzania tusishushane,, sasa mbona wewe umetushusha kwa kuamua kuwathamini wakenya? au tanzania hatuna studio?

    ReplyDelete
  18. Well done Girl for the hard work to the society, that is what humanity is all about. We would love o see our politicins to be like this atlest. We would like to get details on how we can contribute toward this and our fellow Africans. Please Michuzi pass our message to Sister Nakaaya.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 08, 2009

    Michuzi sauti yako leo mbona yaupole na taratibu saaaaaaaaanaaaaaaaaa????

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 08, 2009

    Big up Sister ni mara yangu ya kwanza kukusikia ukihojiwa kwa mtazamo wangu unavyoongea tu ni msichana usiyekuwa na maringo au majidai na kujishehua shehua sio kama ndugu yako nancy. unaongea kwa heshima na kiji haya cha mbali na hivyo ndivyo inavyotakiwa kwa msichana. sio macho peku peku na kupayuka utadhani kungwi. wish u all the best Sis Nakaya.
    Mdau Zee la Bandari .

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 08, 2009

    Morena boloka sechaba sa heso
    O fedise dintwa le matshwenyeho,

    O se boloke, o se boloke,
    O se boloke morena, o se boloke.
    Sechaba sa heso, Sechaba sa Afrika

    Sechaba sa Nakaaya

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 08, 2009

    if you are doing this...kutoka moyoni,then all the best nakaaya!!
    AM suprised you manage to raise that much CASH hapo bongo!!!?!!.....hushangaagi watu mara nyingi huchangia harusi ambayo anajua ataenda kunywa/kula lakini ukisema uchangishe pesa kwa ajili ya kujenga shule HUMUONI MTU?....its because of people like you nakaaya,that took all our 'TRUST',people like you,who thought to fund their OWN bussinesses..is to come up with nice idea/COVER called HUMANITY!!!.....mtu anaishia KUFIKIRIA YEYE na familia yake watakula nini ONLY!which is SAD!POVERTY makes people to be a little bit SELFISH!( i think...!)

    one day am hoping,kufanya kazi kama yako nakaaya...but a bit different..am hoping to go vijijini kama hicho chini,wanachojaribu kufufua kilimo cha UMWAGILIAJI,ningetembelea vijiji vya mikoa mingine, na kuona nini kinaweza fanyika kama miradi kama hii ya kilimo ama ufugaji..and see how i can HELP!..yes hukoooo remort places vijijiiiiiiiini ndiko kunakohitajika MSAADA!!!

    nimekulia bongo,so i know how all this works...unasikia story 'mama fulani siku hizi mambo yake poooa! ana gari mbili!!! mwingine utasikia aaagh yule si ameanzisha NGO!!!!if you think about it,kuna watu wamejinyima hio pesa ili kuhakikisha wenzao in another part of the world...wanapata msaada,little did they know...the money they sent is used to make FEW people ' FATTER'..!

    to be honest,if i had the money in my hand, infront of you...i will rather pick one of your relative..uliyemuacha kijijini kwako,nikahakikisha anasoma au anakuwa na biashara ndogo kuliko KUKUPA...wewe UKANUNUE kawigi kengine looools!

    am not pinning you down nakaaya,lets face it.. TANZANIA...imekuwa iki-receive FOREIGN AID kwa miaka mingapi sasa???HOW MUCH kati ya misaada hii imefikia WALENGWA??let it be,yatima,walioathirika na ukimwi etc????nataka mtu a-conduct simple research afu aseme....hapa matokeo!

    hata sijui naandika nini..aagh hivyo hivyoo!

    mdau,bham.

    ReplyDelete
  23. AnonymousJuly 08, 2009

    mahojiano sio mabaya ila nina ushauri wa bure kwa Nakaaya:

    1/siku nyingine ukihojiwa na mtangazaji au mwandishi wa habari tafadhali kuwa makini kwenye hayo mahojiano,hapo kwenye clip unaonekana kugeuka geuka na kupoteza maudhui ya hayo mahojiano

    2/ tafadhali tumia lugha sahihi ama kiswahili au english.kuchanganya lugha kunachanganya wasomaji au wasikilizaji.

    3/ angalia video za mahojiano ya wanamuziki/watu maarufu mbalimbali duniani wanapokutana na waandishi/watangazaji sehemu mbalimbali mf.katika hafla, nje ya migahawa au viwanja vya ndege ili uweze kujifunza jinsi ya kujibu maswali katika mahojiano ya kushtukiza,hiyo clip inaonyesha ulivyojichanga kwenye kujibu swali la kaka michuzi (unaishi nairobi ili kuweza kusafiri kwenda somalia,Tanzania???).

    najua watu wengine watasema nina chuki na wivu.sina chuki na Nakaaya ila ni katika kupeana ushauri. Nakaaya ni mwanamuziki mzuri na namtakia mafanikio mema katika kazi zake.

    ReplyDelete
  24. AnonymousJuly 08, 2009

    Ninakupongeza nakaya kwa uwezo wako mkubwa wa kujieleza kwa kweli umeonesha umakini wa kusikiliza vyema maswali na kuyajibu maswali kwa ufasaha.Big up !Japo kaka michuzi alikuwa anakubadilishia sauti ila usijali sana .Nakutakia mafanikio mema.

    ReplyDelete
  25. AnonymousJuly 08, 2009

    Katika Picha anaonekana anafanana sana na marehemu Rehema Mwakangale wa ITV.... Hivi ni ndugu yake au ni kufanana tuu.?

    ReplyDelete
  26. AnonymousJuly 08, 2009

    uwiiiiii sina mbavu,,jaman wadau mna visa nyie??

    asa SAUTI ya balozi,ila ndo sauti yake jamen,mzee ana sauti ya zege,mnaelewaaaaaa?yan noooma sana

    dah!mmefanya siku yangu njema sana

    asante

    ReplyDelete
  27. AnonymousJuly 08, 2009

    michuzi unajulia saanaaa kuwauliza/kuongea na watoto wa kike!!mtoto ana haiba na aibu za kike safffii sana

    yan burudiko sana

    ufanikiwe sana sana baby

    asante

    ReplyDelete
  28. AnonymousJuly 08, 2009

    nifanye nini nifikishe mchango wangu?

    nitakupata vipi?

    ReplyDelete
  29. AnonymousJuly 09, 2009

    Michuzi acha kuongea kwa sauti za kimahaba unapoongea na watoto wa kike.

    ReplyDelete
  30. AnonymousJuly 10, 2009

    ..acheni wivu michu anafauduuu..

    ReplyDelete
  31. PhatlorenzoJuly 10, 2009

    Wachawi mwacheni Nakaya...she is doing a fine job..she is raising $$$ for good causes and she's blessed to have a beautiful voice. Go Nakaya..I am rooting for you.
    Phatlorenzo-Minnesota

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...