Ngoma Afrika katika rigwaride lao
The Ngoma Africa Band aka FFU wanatarajiwa kutumbuiza katika onesho la
Tamasha la FEST AFRIKA, mjini Tampere, huko Finland siku ya Jumamosi 18-07-2009. Hivyo wadau wa huko mkae mkao wa kula virungu...



katika maonesho hayo pia kutakuwapo na bendi nyingine za mziki na vikundi vingine vingi vya sanaa za maonyesho kikiwemo kikundi maarufu cha The Mpondas Group che maskani yake mjini Tampere.

The Ngoma Africa band ilikuwapo Ufini mwanzoni mwa mwezi wa February mwaka 2009 katika misimu wa barafu huko ufini, na kufanikiwa kuwasha moto wake wa mziki. Wadau wa Scandinavia bendi yenu inakuja kufanya kazi mliyowatuma kufanya nayo ni mziki moto moto!.

The Ngoma Africa bendi inayotingisha majukwaa kila kukicha bado inaendelea na kufuka majukwaa kama vile moto wa nyikani.
wasilikize hapa

www.myspace.com/thengomaafrica
ukiwataka
ngoma4u@googlemail.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 10, 2009

    Mimi wadau naomba msaada wakupata nyimbo za taarabu zifuatazo,,moja ni zumbukuku uliimbwa na kikundi cha T.O.T, nyingine ni Deleva wangu tulia iliimbwa na muungano cultural,,nitashukulu saana kwa mdau atakae niongoza kwakupata hizi nyimbo za enzi zangu,.nashulu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2009

    sasa wewe unahitaji nyimbo za tot ningekushauri uwasiliane na tot.
    pia weka nauni yako hili wadau wengine wakusaidie

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...