Mdau Adrian Peter Ndege akila pozi na marechara wake baada ya kula nondozzz ya lugha na Hisimu(Linguistic) katika chuo kikuu cha middlesex University london hivi karibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 18, 2009

    HONGERA ADRIAN. BABA YAKO PETER NDEGE NI YULE ANAYEFANYA KAZI SHIRIKA LA MZINGA? KAMA NDIYO HONGERA PETER KWA KIJANA WETU. Ni mimi Urio tuliosoma wote Kuliya Faniya. MABRUKU YA MUHANDISI...

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 18, 2009

    Middlesex Tehee heee heee. Mdau alishtukia Chuo Kikuu cha K-moto Japan.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...