Home
Unlabelled
profesa migiro aibiwa nyumbani kwake dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
pole sana profesa migiro
ReplyDeleteNampa pole sana lakini ukiangalia kwa makini basi ujenzi wa nyumba kama hizo kisha ukaweka vioo vya kuslide ni kukaribisha wezi. Inaonekana hao wezi hawakupata tabu yoyote walipoingia. Waliondoa vioo na wala hawakuvivunja.
ReplyDeleteTahadhar kabla l-athar. Kama Professor alipaswa awe mwangalifu zaidi.
Kwangu mimi hiyo eneo la tukio (scene of crime.Sijaelewa huyo askari alikuwa kwa uapnde dirisha la vioo liliotolewa kama ugauzi wa tukio ulikuwa umefanyika au la.Maana kama ni tkio la uhalifu kuna vitu vingi vya kuangalia.Mfano unaweza usione kifaa kilichotumika kuvunjia laikini unaweza kupata nyuzi,nyayo za viatu au hata alama za vidole zilizoachwa na wahalifu.
ReplyDeleteNasisitiza hilo ni tukio la uhalifu!
Prof pole sana...fuga mbwa, uwe na walinzi hata watatu na waombe estates wakuwekee magrill kwenye madirisha yote...kwa uzoefu wangu wa kuibiwa na ukizingatia hakuna Grill kwenye madirisha nina uhakika hiyo siyo mara ya kwanza kuibiwa , lazima tv, vcr na redio zimeshaibiwa mara kibao humo ndani, pole sana Prof.!!!
ReplyDeleteebu basi muwapishe wengine wakae izo nyumba
ReplyDeletekhaaa,mmekalia nyie tuu
jengeni
Profesa,
ReplyDeleteNasikitika sana kwa hayo yaliyokukuta. Hata mimi nilivunjiwa nyumba mwezi Februari, na kuibiwa iMac, laptop, external hard disk 2, na vikorokoro vingine. Tuseme walinitia hasara kubwa.
Mali yaweza patikana, uhai wako ukiondoka haurudi tena. Nashukuru u-mzima wa afya, hujaumizwa.
Poke kwa matatizo ndugu yangu.
./aziz mongi
pole sana mzee omba uzima watakamatwa tu polisi wakifanya kazi yao inavyotakiwa,
ReplyDeletehii ndo nyumba ya katibu wa UN, majambazi wanaingia bila wasi iwe ya kidampa ka mimi halafu unanambia nirudi bongo?
Azizi na wewe kwa ushamba sasa kuna haja gani ya kututajia ulichoibiwa?
ReplyDeletewatu wanaibiwa kila siku, hiyo wala si news kwa hapo bongo.
ReplyDeletewewe uliyetumia lugha ya KIDAMPA Umenichekesha sana.
ReplyDeleteMaana hapa nilikuwa na mihasira yangu, vile ninatakiwa kusoma kwa mitihani ya master's na nilikuwa sina mood ya kusoma. Aisee Ubarikiwe sana.
Siku Njema.
Hivi kumbe nyumba ya huyo Katibu wa Umoja wa Mataifa hailindwi? Ama walilala kama kawaida yao! Keshi ikulu sitashangaa!!Wabongo!
ReplyDeleteNa wewe acha kujishaua mitihani ya master's ndio nini....Ushamba mtupu
ReplyDeleteMie nachotaka kujua siku anavunjiwa prof. alikuwa home au chobingo?
ReplyDelete