Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Chillah unatakiwa ukija kukamua huku unabamiza Alhamis, maana hata sie tulioko Oman tutaweza kuja maana itakuwa wikiendi, ila jpili noma mtu wangu, maana j2 kazi na j3 kazi, labda itabidi nifake kaugonjwa nije tukupe kampany mtu wangu, Karibu umangani, ndo mda tende mbichi huu!

    ReplyDelete
  2. Halafu mwana mbona kiingilio kidogo sana, Rial 7 ni ndogo sana, at least ungeweka kama dirham 200 hivi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 12, 2009

    Kama michuzi, huku ughaibuni watu wanabishana kama Obama alikula chabo au vipi. Najua wabongo ni wataalamu wa kula chabo hebu tuwekee hii tujue wabongo wanasemaje.

    http://static.livesteez.com/files/videoPlayer2.swf

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 12, 2009

    weee! dirham 200 kumuona QChillah, una wazimu?! unataka ajikute ukumbini peke yake?!
    mwenzio hiyo 70 katumia akili ili awavute kwa sana, sababu hata 100 atajiharibia!
    recession haijafika chumbani kwako nini wee mmanga mbovuuu?!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 12, 2009

    kUMBE NDIYO MAANA KANYOA MIJINYWELE YAKE!!!!WAARANU NOMA.

    ReplyDelete
  6. We choka mbaya wa dubs, kama huna hela si urudi nyumbani ukalime, unafanya nini huko dubai kama hata 200 kumuona Chillah unaona nyingi? Watu wengine bwana, mnataka tu ujiko 'ooh jamaa yuko dubai', kumbe choka mbaya, njoo huku Oman ukamate fedha wewe dogo, recession, recession! Recession kitu gani bwana.
    Chillah fanya Rial 30 kabisa!! aha haaaa

    ReplyDelete
  7. wewe unayejisifia kuwa uarabuni na kusema kuwa unamihela nakunukuu(200 kumuona q chilla unaona nyingi....,chilla fanya rial 30 kabisa!)wewe nakutilia shaka upataji wako wa fedha huko uarabuni maana mmmmh!mambo ya dubai waachie wenyewe wa dubai yakheee!au ndio yale mambo ya ukitaka tende chukuuaaaaa?angalia sio unajitunisha kichwa hapa!uarabuni sio mahali pa kupachekea..unaeza ukabadilishwa tabia na kama mlikuwa kwenu wasichana wanne mvulana mmoja status inaeza ikabadilika kukawa na mabinti watano kwenye familia,ni hayo tu!
    mwanafasihi popobawa!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 13, 2009

    mbona kafunga ilo lemba wanalovaaga waislamu wa oman na kile kitambaa cheusi kimevingilika kichwani??

    afu siku sasa naona hii ni fasheni watu wanavaa kama mtandio nk nk

    ReplyDelete
  9. I wish u all the best Q chilla.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...