Home
Unlabelled
Q-Chief kuvamia Dubai agosti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Chillah unatakiwa ukija kukamua huku unabamiza Alhamis, maana hata sie tulioko Oman tutaweza kuja maana itakuwa wikiendi, ila jpili noma mtu wangu, maana j2 kazi na j3 kazi, labda itabidi nifake kaugonjwa nije tukupe kampany mtu wangu, Karibu umangani, ndo mda tende mbichi huu!
ReplyDeleteHalafu mwana mbona kiingilio kidogo sana, Rial 7 ni ndogo sana, at least ungeweka kama dirham 200 hivi.
ReplyDeleteKama michuzi, huku ughaibuni watu wanabishana kama Obama alikula chabo au vipi. Najua wabongo ni wataalamu wa kula chabo hebu tuwekee hii tujue wabongo wanasemaje.
ReplyDeletehttp://static.livesteez.com/files/videoPlayer2.swf
weee! dirham 200 kumuona QChillah, una wazimu?! unataka ajikute ukumbini peke yake?!
ReplyDeletemwenzio hiyo 70 katumia akili ili awavute kwa sana, sababu hata 100 atajiharibia!
recession haijafika chumbani kwako nini wee mmanga mbovuuu?!
kUMBE NDIYO MAANA KANYOA MIJINYWELE YAKE!!!!WAARANU NOMA.
ReplyDeleteWe choka mbaya wa dubs, kama huna hela si urudi nyumbani ukalime, unafanya nini huko dubai kama hata 200 kumuona Chillah unaona nyingi? Watu wengine bwana, mnataka tu ujiko 'ooh jamaa yuko dubai', kumbe choka mbaya, njoo huku Oman ukamate fedha wewe dogo, recession, recession! Recession kitu gani bwana.
ReplyDeleteChillah fanya Rial 30 kabisa!! aha haaaa
wewe unayejisifia kuwa uarabuni na kusema kuwa unamihela nakunukuu(200 kumuona q chilla unaona nyingi....,chilla fanya rial 30 kabisa!)wewe nakutilia shaka upataji wako wa fedha huko uarabuni maana mmmmh!mambo ya dubai waachie wenyewe wa dubai yakheee!au ndio yale mambo ya ukitaka tende chukuuaaaaa?angalia sio unajitunisha kichwa hapa!uarabuni sio mahali pa kupachekea..unaeza ukabadilishwa tabia na kama mlikuwa kwenu wasichana wanne mvulana mmoja status inaeza ikabadilika kukawa na mabinti watano kwenye familia,ni hayo tu!
ReplyDeletemwanafasihi popobawa!
mbona kafunga ilo lemba wanalovaaga waislamu wa oman na kile kitambaa cheusi kimevingilika kichwani??
ReplyDeleteafu siku sasa naona hii ni fasheni watu wanavaa kama mtandio nk nk
I wish u all the best Q chilla.
ReplyDelete