Mdau Kimz na nondozzz yake
Mdau Kimz akipongezwa baada ya kalamba nondozzzz yake ya Shahada ya Computer Science chuko kikuu cha Heriot Watt university huko Edinburgh, Scotland, Uk hivi karibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2009

    Hongera sana!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2009

    Hongera Kimomo, mdau wako Forodhani 1997.(Sadik yu wapi nae?)

    ReplyDelete
  3. mkuu hongera sana mdau wa Edinburgh university kwa sasa nipo bongo kwa ka likizo , tutaonana winter kwenye graduation yangu.
    Dito

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 17, 2009

    Haya Mazee kanyaga twende...rudi nyumbani kujenga taifa achana na boxes

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 17, 2009

    Mtu unamaliza nondos mzee hivyo ndio maana nchi yetu haiendelei hapo unachowaza ni kuoa tu ulikuwa huoni class mate wenzio wana-age gani?16-20 mwisho bora ubaki huko huko upige box utatuharibisa nchi

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 17, 2009

    Nina furaha kumuona mdau Kimz akilamba nondo yake, Imekuwa kama bahati nimeyacheck matokeo kwa net ya Heriot watt University nimefurahi sana. Nami nov nalamba nondoz palepale scotland.
    Kim nafurahi kuona umemaliza salama maana haka kasafari ka hawa wascotish ni karefu. Hongera sana.

    Mdau mbioni kurudi bongo frm London

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 17, 2009

    Mpare hongera sana!na katunondozzz

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 17, 2009

    huyu annon 04.40 mbona mshamba sana!!wewe hujui elimu haina mwisho!!na elimu aichagui umri wala nini!!kimzz hongera sana kaka yangu hata kama umesoma na watoto wa miaka 6 elimu ni yako...

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 17, 2009

    Hongera mkuu kwa hatua uliyoifikia nakutakia kila la heri ktk hatua zinazofuata , nasi tunakuja humo humo hivi karibuni mungu akipenda -
    wako KAKOO

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 17, 2009

    Congratulations kaka. Watu wanaoenda nci za ulaya huwa shule wanamaliza lakini wenzangu na miye wa marekani kazi kuiga wamarekani weusi na kushop na kuishi kama mke na mume shule hawataki kusikia
    CONGRATULATIONS MDAU.It'S your choice kurudi bongo and kutafuta kazi hapo ulipo
    GOD BLESS TZ & IT'S PEOPLE

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 17, 2009

    MWANA CONGRATS UME-STRUGGLE KUCHUKUA NONDO HIYO.THATS COOL..E BWANA MBONA KIMYA SIKUPATI KWENYE NAMBA YAKO ILE YA AWALI? DA AZZY NAYE WAPI? NIPO ESKIŞEHIR SASA NA MIMI NIMEUA SCHOOL.NIPE CALL VIA NAMBA ZANGU ZILE ZILE
    SAM-ESKIŞEHIR UBATANI

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 18, 2009

    Anon wa 04.44 pm kama wewe hutaki kusoma acha wanaotaka wasome. Nani kakwambia elimu inamwisho? Mtu ukiona unahitaji kuelimika zaidi ili kuongeza ufanisi wako unasoma tu haijalishi unaumri gani ilimradi nguvu za kusoma unazo, ada unayo na muda unao. Elimu haiozi, ujuzi hauzeeki acha kujidanganya.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 18, 2009

    ANONYMOUS WA 4:40, TARATIBU NDUGU YANGU. TAFUTA WATAALAM WA KUGANGA STRESS,VINGINEVYO UNAELEKEA KUBAYA.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 18, 2009

    Wewe Anonymous wa 4.44

    Wewe Binafsi Nondoz Yako Ulimaliza Ukiwa na Miaka Mingapi?

    Usikute Hapo Ulipo Hata Nondoz tu Huna, Unaishia Kumkejeli Kimz wa Watu.

    Kimz Upo Juu, The Sky is NOT the Limit.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 18, 2009

    Anon 4.44, Inaelekea unamfaham vyema Kimz, Vinginevyo Umejuaje Kama Hajaoa?

    Alikuacha mlipokuwa Shule nini? Bado Hujaget-Over it tu? Ndio Maaana Unaombea abakie huko huko UK, ili kukuepushia Machungu?

    Unalo Hilo.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 18, 2009

    Anon 4.44, Ni hiyo nondoz ya Kimz tu ndio imepelekea comments zote hizo, au kuna lingine ambalo hutuekei bayana?

    Mbona inaonekana umempania sana?

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 18, 2009

    mimi namshangaa sana huyu anony wa saa 4:44 kwa kumpiga madongo mwenzie eti amemaliza mzee na anachowaza ni kuowa! sasa hapo cha ajabu kwake nini ni kuchelewa kupata degree au hata kama pia anawaza kuowa cha ajabu hapo ni kipi?
    watu tumesoma wote tanzani na tunafahamu fika matatizo tuliyo nayo ktk system yetu ya elimu tangia shule ya msingi. enzi zetu kuchaguliwa toka darasa la saba kuingia sekondari tu ilikuwa taabu maana nafasi hazitoshi hatakama unakiwango kinachostahili kuingia,jina lako likiangukia chini ya mstari wa idadi ya watu inayo hitajika basi umeumia,na kama mzazi wako ni mlalahoi kama baba yangu na hawezi kukupeleka shabanrobert au almunzir au kwingineko basi hapo umeshaumia,inabidi tu uanze utaratibu mwingine.
    umri wa kuanza shule kwa wachache wa mijini ni miaka 7+7(singi)+4(form 1-4)+2(A'level)+2{inapotea kusubiri matokeo ya F4,F6,hadi kuanza chuo}. jumla=22. sasa unashangaa nini unaposema class mate wako 16-20yr. system yao huoni ni tofauti?
    wengine wengi tu hasa vijijini wanachelewa kuanza shule kwasababu nyingi ziko mbali,kwa umri wa miaka 7 hawezi himili mikiki,hivyo huanza wana miaka 10,na hii itamfanya amalize A'level anamiaka 25.
    na je asipochukuliwa kwakuwa nafasi hazitoshi chuoni kwa kozi anayoitaka,na hanafedha kujilipia private?wengi inalazimu apite vyuo vya diploma au advanced diploma kwa bongo kabla hajaanza kulifikia lengo lake.na hapo ni miaka inazidi kupotea tu.
    kwakweli wewe anony wa saa 4:44 umeonyesha utoto wa hali ya juu,kuwa uyaone.kama wewe hayajakukuta hayo basi shukuru mungu usijione mjanja maana hujui hata ya kesho yanayokusubiri maishani.watu hapa tuliingia moja kwa moja lakini pia tulipigwa disco,lakini life goes on,tukajaribu fani zingine na sasa kilisha eleweka pamoja na kuwa tuligraduate tuna umri mkubwa tu.
    hongera sana kimz japo mie sikufahamu ila naheshimu elimu,regardless umeipata ukiwa na age gani it doesn't matter. na ktk life,kumaliza mapema shule hakumaanishi kuwa basi ndiyo pia kufanikiwa ktk yote japo ni vyema.watu hupita njia tofauti lakini hukutana kileleni wakiwa na mafanikio.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 18, 2009

    Mdau 4.44, Inahusu?

    Elimu, umri na kuoa, wapi na wapi? Mbona havihusiani?

    Watu wanakula nondoz na miaka 80? sembuse kijana kama Kimz? Soma Guiness Book of Records, maana unavyoelekea mwenzetu wewe ulukila Nondoz yako Mapema mno, hivyo lazma utakuwa familiar na Guiness Book of Records.

    Pia, tungeomba basi utuekee historia fupi ya maisha yako, yenye referee kama watatu hivi, utuelezee umemaliza shule lini, na umeoa lini. Maana nilivyokusoma kiharaka haraka ni kwamba ulikula Nondoz na Kuoa ukiwa na miaka 15.

    USHAURI WA BURE: Kama Alivyosuggest anon wa 03:09 Sat 18th July, TAFUTA WATAALAM WA KUGANGA STRESS, Vinginevyo kweli UTAZIDI KUELEKEA PABAYA.

    Au ungetafuta PUNCHING BAG kwa kuanzia.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 18, 2009

    Anon 4.44, ndio hivyo tena, mwenzio kabahatika kula nondoz UK, hivyo isikuumize saaana, nondoz ni nondoz, ya UK ya Bongo yote nondoz.

    Ninachokushauri peleka fomu ya maombi ya kusomeshwa bodi ya mikopo. Nauhakika kama ukikosa UDSM basi walahu utabahatisha Mzumbe au hata UDOM.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 19, 2009

    HILI JEBA LUGA TUU HALINA KITU KAMALIZA MIAKA TUUU...!!

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 19, 2009

    WE HATER WA 03:17AM HUNA MPANGO WOWOTE UTABAKI HİVYO HİVYO NA KASHFA ZAKO ZA AJABU AJABU , MWENZAKO NDO KESHACHUKUA NONDOZ YAKE , WEWE HAUTOMWONGEZEA WALA KUMPUNGUZİA CHOCHOTE KWENYE MAİSHA YAKE , NA WALA HUJACHANGİA CHOCHOTE KWENYE NONDOZ YAKE , ROHO MBAYA TU UTADHANİ UNAUZA DUKA LA SUMU ........

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 21, 2009

    soo handsome!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...