Michuzi acha hizo bwana! Tubandikie taswirazza hizi za obama na sarkozy bwana! Yaani maprezidaa wote wangekuwa hivi mambo si yangekuwa mswano...tehe tehe tehe....
Mdau Greece

Si vibaya ukaangalia video ya tukio hilo kwa kubofya hapa

http://www.youtube.com/watch?v=SMmX72N6EtE&feature=related


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 13, 2009

    Mwanaume Mwanaume tu hata kama raisi wa nchi.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 13, 2009

    Nimeiona hii picha kama video na inaonyesha tofauti; Obama alikua anaangalia chini kwenye ngazi.....Lakini huyo Fench President (Nicolas Sarkozy) ndiye aliyekuwa amechenguliwa na mtoto kwani alijitahidi kumwangalia (wowowo) hata kwa nyuma ya mstari baada ya kujipanga wapige picha ya pamoja!!
    J.
    Toronto

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 13, 2009

    dah! hawa ndo viongozi wa kisasa! ukimweka na Jei Kei hapo raha tupu! Dunia ya viongozi mabrazamen!!

    Ila mzee Kiba wa watani wajadi anatuangusha hapo!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 13, 2009

    Fahari ya macho haifilisi duka.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 13, 2009

    hapo inaonekana mzee udenda ulikuwa unamtoka nikama anasema duu "hiki kisamsung flat vipi tena kinakatiza....huku mzee wa france akitoa macho wewe kaache tuu nitakaita sikumoja......duuu

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 14, 2009

    eeeeh naona muzeeya!! anasoma plate namba hapo so mchezo!!!see bwana raisi kama ni mbongo ni mbongo tu hata ka ma niwa marekani.picha nznuri san nimeipenda sana!!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 14, 2009

    Hii picha ya kwanza inadanganya, ukiangalia video utaona what really happen.
    http://www.youtube.com/watch?v=w_deB-qSQAg&feature=player_embedded

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 14, 2009

    Wewe jamaa wa Greeceee usitake kudanganya watu hii ilikuwa kwenye yahoo news Obama alikuwa anashuka ngazi hizo ndefu alafu alikuwa anaangalia nyuma ili mtoto wa kaka yake ambae anaishi France huyo dada mwenye rangi iliyokolea tii ashuke alikuwa anampa mkono kwa nyuma alafu huyo dada mwingine ndio akapita lakini wala alikuwa haangalii upumbavu unaoufikiri.
    Ushindwe na ulegeee kabisa kwa jina la baba.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 14, 2009

    MH!!!! Jamani mbona hii picha ya kwanza imeshashushuliwa hapa USA tayari?

    Tazama the whole video ndio utajua ...it wasn't like that at all this sound bite and now a picture bite ndio mambo yake hayo....lakini wanaompenda Obama hawakukawia hawa wambea watanue na hii picha...Imetoka tu na video ikawa released so kila mtu akawa kimya. Check the video here for yourself

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 14, 2009

    mmhh jamani mkuu hapo alikuwa tu anasafisha macho,anajua kuwa "wifey" hana mpinzani haha

    nothing can compare to an African shape!!!!1

    mke tako,hips and kifua hao waliopikwa pasi he he he

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 14, 2009

    WATU HUWA HAWANA YA KUSEMA NI UPUUZI MTUPU, UKIANGALIA HIYO PICHA HATA KAMA WEWE NI KIPOFU HUYU MAMA AMESHAMPITA OBAMA WALA HAWAKO MSTARI MMOJA TAYARI YUO NYUMA KIDOGO YA OBAMA NA OBAMA ANAANGALI CHINI NGAZI SASA ATALIONAJE HILO WOWO KWA UPANDE BILA KUGEUZA SHINGO, STOP THIS NONE SENSICAL THINKING,JUST STUPID THINKING TO THINK ABOUT WHAT YOU ARE THINKING

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 14, 2009

    YAANI WEWE MDAU WA GILISI NA WASHABIKI WAKO MNAZIDIWA NA MDOGO WANGU WA MWISHO,RUTACHOKOZIBWA,AMBAYE AMESHAIONA HIYO VIDEO KULE KANYIGO.SASA NIMEANI KUWA KANYIGO NI MUJINI KULIKO GILISI.AMAKWELI UKISTAAJABU ALASKA UTAPAONA RUSSIA.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 14, 2009

    Wanaume sikuzote awawezi kujizuiya ata siku moja. kwani kuangalia ni thambi? mungu ndio alivyo tuumba wanaume ivyo. so sio kosa ili acha angalie tu...

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 14, 2009

    Mwana amebeba unafikiri mzee angefanyaje? Hata mimi ningegeuza shingo

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 14, 2009

    yani ndo mwaona leo hii??

    mboni ishapita saana tu na ilikua gumzo adi vyombo vya kimataifa

    ni kawaida tu,wanaume wooote rijali wako ivo

    ReplyDelete
  16. Mwana amebeba unafikiri mzee angefanyaje? Hata mimi ningegeuza shingo

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 15, 2009

    MACHO HAYANA PAZIA.....

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 15, 2009

    Hata kama ingekuwa kweli kaangalia,so?ye mwenyewe anajua vile Michelle alivyoumbika,mtoto kaenda juu, tako tako,hips hizoo na kichwani
    zimo,it's already been established that he wasn't looking at that flat azz,that's even old news,leteni mpya.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 16, 2009

    tako tako,hips hips,kichwani zipo

    nini kingine unataka kwa mkeo?????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...