Home
Unlabelled
tehe tehe tehe.....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mwanaume Mwanaume tu hata kama raisi wa nchi.
ReplyDeleteNimeiona hii picha kama video na inaonyesha tofauti; Obama alikua anaangalia chini kwenye ngazi.....Lakini huyo Fench President (Nicolas Sarkozy) ndiye aliyekuwa amechenguliwa na mtoto kwani alijitahidi kumwangalia (wowowo) hata kwa nyuma ya mstari baada ya kujipanga wapige picha ya pamoja!!
ReplyDeleteJ.
Toronto
dah! hawa ndo viongozi wa kisasa! ukimweka na Jei Kei hapo raha tupu! Dunia ya viongozi mabrazamen!!
ReplyDeleteIla mzee Kiba wa watani wajadi anatuangusha hapo!
Fahari ya macho haifilisi duka.
ReplyDeletehapo inaonekana mzee udenda ulikuwa unamtoka nikama anasema duu "hiki kisamsung flat vipi tena kinakatiza....huku mzee wa france akitoa macho wewe kaache tuu nitakaita sikumoja......duuu
ReplyDeleteeeeeh naona muzeeya!! anasoma plate namba hapo so mchezo!!!see bwana raisi kama ni mbongo ni mbongo tu hata ka ma niwa marekani.picha nznuri san nimeipenda sana!!!!
ReplyDeleteHii picha ya kwanza inadanganya, ukiangalia video utaona what really happen.
ReplyDeletehttp://www.youtube.com/watch?v=w_deB-qSQAg&feature=player_embedded
Wewe jamaa wa Greeceee usitake kudanganya watu hii ilikuwa kwenye yahoo news Obama alikuwa anashuka ngazi hizo ndefu alafu alikuwa anaangalia nyuma ili mtoto wa kaka yake ambae anaishi France huyo dada mwenye rangi iliyokolea tii ashuke alikuwa anampa mkono kwa nyuma alafu huyo dada mwingine ndio akapita lakini wala alikuwa haangalii upumbavu unaoufikiri.
ReplyDeleteUshindwe na ulegeee kabisa kwa jina la baba.
MH!!!! Jamani mbona hii picha ya kwanza imeshashushuliwa hapa USA tayari?
ReplyDeleteTazama the whole video ndio utajua ...it wasn't like that at all this sound bite and now a picture bite ndio mambo yake hayo....lakini wanaompenda Obama hawakukawia hawa wambea watanue na hii picha...Imetoka tu na video ikawa released so kila mtu akawa kimya. Check the video here for yourself
mmhh jamani mkuu hapo alikuwa tu anasafisha macho,anajua kuwa "wifey" hana mpinzani haha
ReplyDeletenothing can compare to an African shape!!!!1
mke tako,hips and kifua hao waliopikwa pasi he he he
WATU HUWA HAWANA YA KUSEMA NI UPUUZI MTUPU, UKIANGALIA HIYO PICHA HATA KAMA WEWE NI KIPOFU HUYU MAMA AMESHAMPITA OBAMA WALA HAWAKO MSTARI MMOJA TAYARI YUO NYUMA KIDOGO YA OBAMA NA OBAMA ANAANGALI CHINI NGAZI SASA ATALIONAJE HILO WOWO KWA UPANDE BILA KUGEUZA SHINGO, STOP THIS NONE SENSICAL THINKING,JUST STUPID THINKING TO THINK ABOUT WHAT YOU ARE THINKING
ReplyDeleteYAANI WEWE MDAU WA GILISI NA WASHABIKI WAKO MNAZIDIWA NA MDOGO WANGU WA MWISHO,RUTACHOKOZIBWA,AMBAYE AMESHAIONA HIYO VIDEO KULE KANYIGO.SASA NIMEANI KUWA KANYIGO NI MUJINI KULIKO GILISI.AMAKWELI UKISTAAJABU ALASKA UTAPAONA RUSSIA.
ReplyDeleteWanaume sikuzote awawezi kujizuiya ata siku moja. kwani kuangalia ni thambi? mungu ndio alivyo tuumba wanaume ivyo. so sio kosa ili acha angalie tu...
ReplyDeleteMwana amebeba unafikiri mzee angefanyaje? Hata mimi ningegeuza shingo
ReplyDeleteyani ndo mwaona leo hii??
ReplyDeletemboni ishapita saana tu na ilikua gumzo adi vyombo vya kimataifa
ni kawaida tu,wanaume wooote rijali wako ivo
Mwana amebeba unafikiri mzee angefanyaje? Hata mimi ningegeuza shingo
ReplyDeleteMACHO HAYANA PAZIA.....
ReplyDeleteHata kama ingekuwa kweli kaangalia,so?ye mwenyewe anajua vile Michelle alivyoumbika,mtoto kaenda juu, tako tako,hips hizoo na kichwani
ReplyDeletezimo,it's already been established that he wasn't looking at that flat azz,that's even old news,leteni mpya.
tako tako,hips hips,kichwani zipo
ReplyDeletenini kingine unataka kwa mkeo?????