Habari za kazi kaka,
Sasa nimeona bandiko hili
http://issamichuzi.blogspot.com/2009
Sasa nimeona bandiko hili
http://issamichuzi.blogspot.com/2009
/07/libeneke-la-bei-za-vocha-za-simu.html
Ambapo watu wanalalamika kuhusu kupanda kwa bei za Vocha.
Ushauri wa bure ni kwamba wanaweza kununua Vocha kwa bei halisi kupitia M-Pesa.
-> Kufungua akaunti - Bure
Ambapo watu wanalalamika kuhusu kupanda kwa bei za Vocha.
Ushauri wa bure ni kwamba wanaweza kununua Vocha kwa bei halisi kupitia M-Pesa.
-> Kufungua akaunti - Bure
-> Kudeposit pesa kwenye akaunti - Bure
-> Kununua airtime kupitia M-Pesa - Bei halali (yaani Tshs. 1,000/-kwa muda wa maongezi wa Tshs. 1,000/-) ...
Pia mambo ya kuscratch nakujaza namba hakuna.
Au unaonaje? Si ni solution bomba hii?
Siku njema
Au unaonaje? Si ni solution bomba hii?
Siku njema
Mdau Fred
Hiyo imekaa kwa wale wanaoishi mjini, na ujue M-pesa ni saa za kazi tu. Nafikiri kuna haja ya kutafuta muafaka,kwani hadi hii leovocha bai ni juu.
ReplyDeleteNafikiri hiyo M-Pesa pia inagharama za uendeshaji, unapotuma pesa unachajiwa kwa asilimia fulani, je huoni kwamba bado hakuna unafuu wowote??????? pia uwezo wa kuendesha na kufungua account kutokana na hali ngumu ya maisha kwa anaeye fanya kazi yenye kipato kidogo (kuuza karanga, maji, nk) unamfikiriaje na anataka VOCHA ya sh 500 baada hata ya wiki mbili??
ReplyDeleteKWA MIMI MTU WA TIGO NIFANYAJE? AU NDO UNAFANYA ADVERTISEMENT TUINGIE HUKO. HONGERA MICHUZI KWA KUIFANYA BLOG YETU ITOE MATANGAZO YA BIASHARA BURE
ReplyDeleteMimi nafikiri mdau hajaeleweka,kuweka pesa kwa M-pesa ni bure kabisa,hata kufungua account ni bure kabisa,sasa ukiweka 2000 yako kwa m-pesa na ukanunua salio la 1000 hautalipia kitu na muda wako wa maongezi utaongezwa kwa 1000 na m-pesa yako itabaki 1000,gharama iko wapi?pia sio kweli mpesa ipo mijini,kibororoni ni mjini?
ReplyDeleteBongo tambarare!!!!!!
ReplyDeletemambo haya yakija wale wanaokula nchi kwa mrija wala hawafungui mdomo. Walala hoi ndio wanazungumza ukweli
Mwaona sasa....mwasema rudi home rudi home. Vocha ya sh 500 mtu hawezi? Ukweli ndio huo bongo wachache tu ndio wanaishi wengine wote wanasindikiza tu