Home
Unlabelled
vikwangua anga vipya dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
msaada jamani, sipo Dar muda mrefu, hivi hiyo barabara mdau anayosema ni ya morocco ndiyo ile ya Kawawa? kama ndiyo hapo tumepotosha umma maana blog hii ni ya jamii na inasomwa na watu wengi, wapo wasoma ramani maarufu watateseka watakapofika Bongo kutafuta barabara ya Morocco, michu uwe makini kupitia mambo kabla ya kuyarusha hewani na kama mwenye hujui usiogope kuwa ni mkongwe, uliza kwani kuuliza si ujinga.
ReplyDeleteDar inapendeza kwa majengo mengi mazuri.Ingependeza zaidi kama ujenzi huu ungeenda sambamba na ujenzi wa underground parkinglots na sewage systems.Wadau hii imekaaje?
ReplyDeleteHii kampuni tangu mwanzo ilivyoanza ni wajanja tu, wanakwepa kodi ili watumie grace period ya 5 years kwa kutumia jina jipya kila miaka 5. Haya hivyo ndio mianya serikali inapokosa pesa za kodi.
ReplyDeletekweli mdahu wa hapo juu mhhhh maana hii style ya grace period ya kila baada ya miaka 5 inabidi ibadilishwe jamani katika kusamehe kodi..mhhhh kwani hii zain ilianzaa kama kampuni ya TTCL kama simu za mkononi mara ikaitwa celtel na sasa inaitwa zain..mhhhh na sasa kampuni ya TTCL imesharudishwa kwa wazawa baada ya kuchukua fedha zote na kuchukuliwa shahe zote.mifano ya system ya garace period ya kila baada ya miaka mitano tumeiona kwenye hotel kama Holiday inn.sheraton hotel..mhhh jamani mko wapi wabunge wetu jamani ...teteheni system ambayoo itasaidia kuongeza kodi kwa taifa la Tanzania sioo kulumbana kwa matwakwa binafsi jamani..
ReplyDelete"The higher the buildings, the lower the morals."
ReplyDelete-Noel Coward
ANONY #2 WAZO LAKO KAMA LANGU
ReplyDeletemdau noel coward...hahahahaaaaa
ReplyDeleteni kweli jamani no sewage systems no parkinglots etc etc
hii mijengo bongo inaniboa sana sana
ovyoooooooooooooooooo
asante...
ReplyDeletetuzidi kutumia mihela yetu kwa raha zetu