kona ya barabara za Kawawa (zamani morocco) na ali hassan mwinyi road pana kikwangua anga kipya ambacho kimejikita juu ya iliyokuwa gogo hotel enzi hizo. inasemekana jengo hili ni la kampuni ya Zain ambayo pamoja na kuondoa shea yake TTCL hivi sasa iko njiani kununuliwa na kampuni ya kifaransa. habari zaidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 20, 2009

    msaada jamani, sipo Dar muda mrefu, hivi hiyo barabara mdau anayosema ni ya morocco ndiyo ile ya Kawawa? kama ndiyo hapo tumepotosha umma maana blog hii ni ya jamii na inasomwa na watu wengi, wapo wasoma ramani maarufu watateseka watakapofika Bongo kutafuta barabara ya Morocco, michu uwe makini kupitia mambo kabla ya kuyarusha hewani na kama mwenye hujui usiogope kuwa ni mkongwe, uliza kwani kuuliza si ujinga.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 20, 2009

    Dar inapendeza kwa majengo mengi mazuri.Ingependeza zaidi kama ujenzi huu ungeenda sambamba na ujenzi wa underground parkinglots na sewage systems.Wadau hii imekaaje?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 20, 2009

    Hii kampuni tangu mwanzo ilivyoanza ni wajanja tu, wanakwepa kodi ili watumie grace period ya 5 years kwa kutumia jina jipya kila miaka 5. Haya hivyo ndio mianya serikali inapokosa pesa za kodi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 20, 2009

    kweli mdahu wa hapo juu mhhhh maana hii style ya grace period ya kila baada ya miaka 5 inabidi ibadilishwe jamani katika kusamehe kodi..mhhhh kwani hii zain ilianzaa kama kampuni ya TTCL kama simu za mkononi mara ikaitwa celtel na sasa inaitwa zain..mhhhh na sasa kampuni ya TTCL imesharudishwa kwa wazawa baada ya kuchukua fedha zote na kuchukuliwa shahe zote.mifano ya system ya garace period ya kila baada ya miaka mitano tumeiona kwenye hotel kama Holiday inn.sheraton hotel..mhhh jamani mko wapi wabunge wetu jamani ...teteheni system ambayoo itasaidia kuongeza kodi kwa taifa la Tanzania sioo kulumbana kwa matwakwa binafsi jamani..

    ReplyDelete
  5. "The higher the buildings, the lower the morals."
    -Noel Coward

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 22, 2009

    ANONY #2 WAZO LAKO KAMA LANGU

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 22, 2009

    mdau noel coward...hahahahaaaaa

    ni kweli jamani no sewage systems no parkinglots etc etc

    hii mijengo bongo inaniboa sana sana

    ovyoooooooooooooooooo

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 22, 2009

    asante...

    tuzidi kutumia mihela yetu kwa raha zetu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...