wabogojo akifanya vituzzzz
Home
Unlabelled
vipaji bwelele bongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
wabogojo akifanya vituzzzz
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii nimei-twit na kui-fesibukisha maana inahitaji kuonwa na wengi.
ReplyDeleteAsante bro Michu kwa taarifa na burudani!
dah imekaa fresh amakweli ni kipaji maususi sana
ReplyDeleteKweli jamaa anatisha eeh,watu kweli wanajua kutafuta liziki,hao ndo wakupiga tafu kimaisha, sio hao mafisadi wanaozidi kudidimiza inchi tu.
ReplyDeleteEnzi za zamani (miaka ya 70 na 80) nilipokuwa kiongozi wa genge la wizi wa kuingilia madirishani, tulikuwa hatuwezi kupenya kwenye madirisha yenye nondo mpaka tuvunje dirisha au tutumie jeki ya gari kupindisha nondo. Hii ilifanya kazi yetu kuwa ya hatari zaidi. Kama tungempata huyu mchizi enzi zile saa hizi ningekuwa tajiri wa kudumu.
ReplyDeleteYaani jamaa akiingiza kichwa sehemukikipenya basi....mwili mzima unaingia ndani
ReplyDeleteHaluu huyo kijana inabidi aletwe kwenye America have got Talent, cauz that is the talent he need to live his life and he has a lot of potential, namkumbuka alikuwa back-up dancer wa Mr. Nice if I am not mistaken.How can someone's body pass through the Tennes Rack, Serena and Vanesa Williams they need to see dat guy for sure.
ReplyDeleteHuyu anamapepo huyu muombeeni! LoL
ReplyDeletePoor guy sio ajabu halipwi hata kitu ila he don`t care coz he like doing it.
ReplyDeleteJamaa kama nyoka vile, kichwa kikipenya tu na mwili wote umepita. Kkwikwikwikwikwi. Kweli jamaa angefaa sana kupenya kwenye madirisha.
ReplyDeleteHivi ni macho yangu tu au jamaa anataabika kutimiza mbwembwe zake? kama anafanya hivyo kuchekesha hakuna shaka lakini Health and safety muhimu sana hapa.
ReplyDeletemwangalie vizuri kavaa nini shingoni.
ReplyDeleteHiyo anayotumia ni strech rackets yaani hicho kidude anachotumia kinajivuta .. hivyo msishangae sana ni ujanja tu huo
ReplyDeleteMichuzi, if you can weka hii youtube... you neveer know! kwa idhini yake lakini.
ReplyDelete