Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi ya Upendo kongowe kata ya Toangoma wilaya ya Temeke Elizabeth Yona(kushoto)akimpa mkono wa shukrani Meneja mauzo wa Vodacom Tanzania kanda ya mashariki Atilio Lupara wakati Vodacom Foundation ilipokabidhi madawati 80 yenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 6 kwa shule hiyo ambapo kampuni hiyo inaendelea na kampeni yake ya kutoa msaada wa madawati 400 katika shule za Msingi za Mkoa wa Dares Salaam.


Meneja wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule akiongea jambo na Mwanafunzi wa shule ya Msingi Upendo kongowe kata ya Toangoma wilaya ya Temeke,mara baada ya kutoa msaada wa madawati 80 yenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 6 katika shule hiyo ambapo kampuni hiyo inaendelea na kampeni yake ya kutoa msaada wa madawati 400 katika shule za Msingi za Mkoa wa Dares Salaam.
Afisa Habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu akiongea jambo na baadhi ya Wanafunzi wa shule ya Upendo kongowe kata ya Toangoma wilaya ya Temeke ,Vodacom Foundation ilipoenda kutoa msaada wa madawati 80 yenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 6 kwa shule hiyo ambapo kampuni hiyo inaendelea na kampeni yake ya kutoa msaada wa madawati 400 katika shule za Msingi za Mkoa wa Dares Salaam.
Afisa Habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu akimfunga kamba za viatu mwanafunzi Abdul Wahid wa shule ya Upendo kongowe kata ya Toangoma wilaya ya Temeke ,Vodacom Foundation ilipoenda kutoa msaada wa madawati 80 yenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 6 kwa shule hiyo ambapo kampuni hiyo inaendelea na kampeni yake ya kutoa msaada wa madawati 400 katika shule za Msingi za Mkoa wa Dares Salaam.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2009

    Du!Vodacom kwa kweli mnasaidia coz mnapata toka kwe2 na mna2rudishia kiaina.Ila mimi namfagilia sana huyu dogo Nkurlu,dogo ni kichwa na anajua namna ya kuishi na wa2 na kazi yake inaonekana hana mzaha na kz yake ukimzingua anakuzingua kiukweli kweli na yanaisha hapo hapo kwa kweli Voda angalieni hicho kichwa wa2 wengi wanakiulizia mimi najua,na media nzima tz wanamkubali nazani dogo kamrithi kila ki2 marehe baba yake ambae alikuwa mwandishi wa Mkapa.Dogo piga kazi na upo juu,ila usiende kwenye mambo ya siasa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 19, 2009

    Hivi kwa nini watoto wetu bado wanakaa chini iwapo Madawati 80 yanagharimu Milioni 6 tu?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 19, 2009

    Vodacom ina mameneja wengi sana ila kwa sababu ajira wanatoa kwa Watanzania haina noma. Sasa na mimi baada ya kubeba box na kufagia kwa karibu miaka sita nategemea kurudi home. Naomba nipewe Umeneja Usafi hapo Vodacom. Michuzi nipigie ndogondogo basi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 21, 2009

    Matina naona unauza sura hapo. Any ways Afisa habari naona mambo sio mabaya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...