

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
anko nanihii, where is the fulanas? Hupendezi bila the fulanas. Weka za fulanas hata kama joto iko mbinde kiasi gani. Naomba kutoa hoja
ReplyDeleteNasikia Gym nje nje marekani. Kulikoni huyo mwenye Yanga kanenenepa hivyo?
ReplyDeleteben hujambo?
ReplyDeleteHAPA UMENISHANGAZA MICHUZI WEWE NDIYE UNAONEKANA KAMA UMEKUJA HIYO VAKESHENI NA HAWA JAMAA WANAONEKANA KAMA WAPO TU HAPAHAPA DAR, SASA HII IMEKAAJE AU MA BOX YAMEKATA WASHIKAJI WANA WAZA?
ReplyDeleteJAMA KWELI KIMBANGA NAZI NOMA
Wewe anony 10:02. imekuwaje ukaniwahi? Pamoja na kubeba maboxes bado huyu mwenye fulans ya Yanga ana kitambi! Na wakati maboxes ni sehemu mojawapo ya mazoezi. Ukirudi Marekani inabidi upunguze kula makuku. Una ufanye GYM kweli kweli, make unakaribia kulemewa. Haya kazi kwako.
ReplyDeleteMdau USA
BOX USA =$2000 PER MONTH
ReplyDeleteDR WA BONGO= $500 PER MONTH
ANY COMMENTS?
matokeo ya chicken skin hayo! jamaa kama analowekwa kwenye pipa la mafuta, too much oil! haaa
ReplyDeleteJamani Michuzi ur blog is the bomb!Hivi huyu ni Bern I had a crush on?Ahh Bern kama hujaoa tuwasiliane basi!Mmichuzi naomba no ya huyo kaka mwenye polotshirt anaitwa Bernard.Huu sio utani michuzi.Sijamuona kwa miaka kama 10.Asante kwa kutuonyesha rafiki tuliopetezana miaka mingi.Please Michuzi usinitupe kapuni.
ReplyDeleteBOX LA KISHENZISHENZI UK NI POUND 1250/MONTH KAMA $2500 HIVI. ILA UKIPATA BOX LENYE AKILI HAPA UK UNAKULA HADI POUND 2000/MONTH SAWA NA KAMA $4000 FLANI HIVI/MONTH. HALAFU LAIFU IKO POA TU
ReplyDeletekaka ben mkanzabi upo?
ReplyDeleteNakuona Profesa wa Hananasif, miaka mingi Prof tukutane pale ktk mbuyu mkubwa Hananasif.
ReplyDeleteAnony uliyetaka comments kuhusu
ReplyDeleteBOX USA=$2000
DR BONGO=$500
Try this;
A gallon of milk USA = $4
A gallon of milk Bongo = $1
Hey, ni kweli jamaa wanaonekana wamekaa sana Bongo, ni muda wa kurudi USA. Kitumbo cha mwenye yellow labda kakipatia Bongo kwenye vacation. Tusibweteke, zoezi muhimu, don't keep something you don't need in the belly.Uvivu wa kwenda uani waweza kuwa factor. FirePower, UK
ReplyDeleteAnony Jul 30 05:27 pm
ReplyDeleteKama unataka kulinganisha maisha ya bongo na USA the akili zako hazina akili,mimi nimeishi hapo na nilikuwa na kazi nzuri tu.tatizo la bongo hakuna in between ni either unatesa au umechoka lakini huku kwa wenzetu hata ukipigika mahitaji muhimu hukosi i mean huku kuku si anasa.ni asilimia ngapi ya wabongo ambao wanaamka asubuhi hawana uhakika wa kula.unaweza kubaba box huku na ukajenga bongo kwa taarifa yako mbeba zege huku anamake kuliko mfanyakazi wa bank.
Duuuuuuu!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteKweli wabongo bwana tupo tupo tu mtu anakaa mtoni lakini hana tofauti na mtu wakuja toka Kilwa au mpanda hivi....Pamba state njenje kama hela haitoshi changamukia sale basi , the fun... thing hawaoni aibu wana-pose siyo eti wadau wa Huston ...du jamani JK kazi ipo......
haya bwana vocation njema bongo..
Mdau wa Pamba..
kaka michuzi wengine ndio wamefika hapo bongo sio vacation wala nini ndio wametinga bwana
ReplyDeleteJamani mnaondoka lini?, nataka niwatumie vitumbua mashoga zangu Aisha na Rosemarie Mlekwa
ReplyDeleteAnnyoy wa box $2000 marekani ...na rent sh ngapi hapo? bado gari.insurance ( oh sorry kumbe unaendesha mkweche)
ReplyDeletena hao watu mnaodai wanakaa majuu mbona choka mbaya yaani hata wabongo wanagaa au ndo maboksi yamewachosha???
Tufanye hivi,chukua statistics za diaspora kisha angalia financial fitness yao, kisha angalia jinsi gani wanaweza kuinua uchumi wa Tanzania ambao unanuka, acheni ushamba wa kuangalia watu walivyovaa and stop judging the book by the cover.Maisha popote na mkifanya hesabu za maana mtaona mchango wa diaspora ni muhimu kwa Taifa.
ReplyDeleteBernadi,
ReplyDeleteVipi wewe...maisha yakupelekaje Bongo?
Baba Moi hapa.