banda la WakaWaka limekuwa kivutio kikubwa kwa wadau katika siku kumi zote za maonesho ya sabasaba ambayo yanafikia tamati leo katika viwanja vya maonesho ya biashara vya mwalimu nyerere barabara ya kilwa road jijini dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2009

    Nimekuwa nashindwa kutuma maoni kwenye blog hii naomba msaada. Hapa najaribu kama nitafanikiwa

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2009

    Nashukuru nimefanikiwa kutuma maoni nilikuwa nakwama sehemu ndogo

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 09, 2009

    sawa sawa msondo ngoma, tunaikubali hata sisi tulioko nje ya nchi

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 09, 2009

    mh!sina uwakika kama kweli wote tulio nje ya nchi tunaikubali hiyo lebel.usiongelee kitu kiujumla kama huna uwakika wala uthibitisho.
    ahsanteni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...