jengo la iliyokuwa kampuni ya uwakala wa meli, NASACO, ambalo sasa limebaki kama gofu tu barabara ya Sokoine road. kuna mdau mwenye fununu ya nini kinaendelea kuhusu kampuni hii?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kaka lina kesi hilo mahakamani. Nafikiri ni wafanyakazi hawajalipwa mafao yao ndo wamefungua kesi.

    Taasisi na Wafanyabiashara kibao wameshalisarandia hilo kutaka kununua na kuporomosha kitu cha maana hapo lakini wamegonga mwamba wameambiwa lina kesi kwanza.

    We unafikiri lingekuwa frii hilo MANJI angeliachia hilo tu mpaka sasa?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2009

    Kazi na NASACO zilitawanya ktk makampuni mbali mbali, nyingine wanafanya TPA, TICS na nyingine meli zenyewe zinatafuta wakala. Kwa bahati mbaya kama ilivyo ktk masuala mengi ya kubinafsisha hapa nchini wale wakubwa walioshiriki ktk mchakato huo ndio waliochukua kazi zilizokuwa za NASACO.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 09, 2009

    Mdau Mlevi I thought Manji alishinda tenda ya kulinunua zaidi ya mwaka umepita,maana tenda ilitangazwa na PSRC mwaka jana?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...