anko nanihii akiwa na wana libeneke othman (kati) na ahmad michuzi. hawa wako makini katika kuendeleza libeneke ambapo kila moja anatesa katika anga yake ya ambapo ahmad yuko http://michuzijr.blogspot.com/ wakati othman anakatiza mitaa ya http://othmanmichuzi.blogspot.com/
pamoja na libeneke vijana pia ni wabunifu. hapa wanakuonesha mambo mapya ya bongo katika mitaa ya chata. 'pamoja' na 'shujaa' othman akiwa na mdau hassan


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 20, 2009

    Naona mambo ya flanazz, naona pia mambo ya kulelewa mamaa vyema, kifriji kinatokea.
    wenye wivuzz wajinyonge.libekene oyee.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 20, 2009

    Hongereni sana kwa kuendeleza libeneke ila Muhidin na Ahmad mnahitaji kwenda gym.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 20, 2009

    michuzi wewe na mdogo wako vibongee?!!! kuna mtu alicoment kuhusu kitambi chako sikuelewa nn anasema after this photo nimeelewa what was he/she on about!.... well done you,maisha mafupi baba kamua!... ila try to maintain.. manyama choma na maserengeti na masafari na matusker c mazuri ki hivyo mwisho wa yote ni maradhi! the same goes to your brother, and ain't hatin maana waosha vinywa are so gud kutafsiri wanavyotaka wao. kila la kheri bruv.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 20, 2009

    Vijana wanafuata nyayo za Kaka "Brother".

    ReplyDelete
  5. Amani kwenu.
    Nilikuwa nasaka picha yenu ya pamoja kuiona na kuuliza swali. Sasa kwa kuwa mpo pamoja, wacha nikaliandae kisha niwaulize.
    Ntaliwakilisha kwenu pia.
    Pamoja Daima.
    Blesssssssss

    ReplyDelete
  6. kalume kengeJuly 20, 2009

    Ni sawa wana ndungu kuwa na shughuli zinazo fanana, lakini ingekuwa vizuri kama wangekuja na jambo lingine jipya na si blog blog na kupiga picha. vinginavyo wanatakia mafanikio

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 20, 2009

    Kaka Michuzi kwani kwenu mlizaliwa mapacha?

    ReplyDelete
  8. familia ya wana libeneka nawakubali saaaana waze wa kazi...........

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 20, 2009

    Issa michu, kweli duniani hakuna mwembamba, umevimba kweli kweli, kitambi hicho mmh, do something. kwani wanywa beer sikuhizi au ni maanjumat tu hayo ya matheri na mialiko ya harusi??

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 20, 2009

    michuzi mdogo wako Ahmad naona ana moobs (man boobs)inatokana na kula sana kitambi ni hatari hio ni ishara kuwa diabetcs,pressure,stroke,cadiac arest vinanyemelea,nimeona kwenye blog yake anavyokandamiza,utafikiri anafuturu kumbe ni lunch tu,pia wewe kaka chonde jaribu kuwa active hata kupata nusu saa tu ya kutembea haraka jioni maana wewe pia hivyo hivyo.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 20, 2009

    Hawa watu wanaongelea vitambi hapa saingine nao wanavo japo ushauri ndo wenye mie mwenyewe kisha nianza kila cku nasema nitaenda kesho gym wapiii ndo nature yetu Africa bana am proud what ever iam mbona Opra ameshindwa na mwili pia maumbile yetu wafrika ndo yapo hivo blive or not that is reality

    ReplyDelete
  12. peter nalitolelaJuly 20, 2009

    MEMPHIS, Tenn. (AP)—First-round draft pick Hasheem Thabeet(notes) has signed with the Memphis Grizzlies.

    The 7-foot-3 center from Connecticut was the second pick in the draft. Thabeet is due to make about $7.7 million over two years under the rookie salary scale.

    Thabeet is the first Tanzanian-born player drafted by an NBA team. He averaged 13.6 points, nearly 11 rebounds and 4 blocks per game at UConn last season and was named Big East co-player of the year.

    Thabeet is also second on the Big East’s all-time blocked shots list behind Patrick Ewing.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 20, 2009

    Hivi michuzi una gali la kutembelea? huo unene umezidi, kama hauna gali la kutembelea ni tabu tupu.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 20, 2009

    i hope mtakuwa mnaongelea story tofauti (be creative), sababu blog karibia zote za bongo zinaongelea the same story...kwa hiyo mtu ukisoma michuzi tu inatosha, blog nyingine zote utakuta the same story

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 20, 2009

    kaka michuzi mimi nimeona hapo mapua yenu tu yaani ile ubantu halisi kwakweli mependeza sana

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 22, 2009

    sasa uko kwenu wote mmejaza mifuta ivo au??
    hii hatari,ningekua mke wenu yani kichapo cha mazoezi ingekua ni jadi ata kwa mitulinga ungefanya zoezi tu

    ila nimewapenda sana ao vijana wa apo picha ya mwisho,

    michuuu nakupeeeendaaaa

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 23, 2009

    kaka Naona umekuwa cloned.Au mambo ya mke wa pembeni?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...