Wapiganaji wakiwa chuo kikuu cha University of Maine, Marekani, ambako wanajinoa katika kuandika kwa kina masuala ya utawala bora, demokrasia na ukimwi. Wapo huku kwa ufadhili wa USAID, ambapo baada ya wiki tatu wataelekea Washington kwa wiki moja wakiwa njiani kurejea tunduni, Bongo.
Kutoka shoto ni Monica Luwondo (Tamwa), Joyce Magoti (Kulikoni), Deus Ngowi (Rai), Khalfan Said (The Guardian), Simon Kivamo (AJAAT) na Samson Kamalamo (Changamoto)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 08, 2009

    Joyce Magoti si mchezo! Niandikie email kindumbwendumbwe@hotmail.com

    Wapiganaji wanaume,
    Hebu chomekeeni mashati.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 08, 2009

    kaka sema wanafundishwa kuandika kutokana na matakwa ya wamilikiwa vyombo vikubwa duniani. swali jepesi ulishawahi onyeshwa na cnn au bbc rabsha zinazotokea ndani ya marekani kila siku kutokana na gangs, au njaa au ubaguzi uliokithiri huku. fuatilia taarifa za kina rockfella na the bush family katika historia ya pesa na vyombo vya pesa. ingia justin.tv.
    jitahidini lakini kwani ndo mfumo wa dunia.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 08, 2009

    Longtime Simon, i liked your work on environment journalism as you reminded me of Nigerian Guy, Ken Sarowiwa...Big up Bro!

    But, i was still wondering about AJAAT, what that stands for?

    Is me Jon in London.

    ReplyDelete
  4. PhatlorenzoJuly 08, 2009

    wewe anon wa Jul 8th 12:42 AM Napenda kutofautiana na wewe. Watu wanakufa njaa Marekani? Wow sijawahi kuisikia hii. Halafu Mbona CNN wanaonyesha documentaries za mambo ya ubaguzi? Naomba uingie ukipata muda uingie Google hata sasa hivi halafu u type "Black in America". Kuna mpaka na YouTube Clips ambazo ni production ya CNN kuhusu hilo suala.
    Nafikiri ni vizuri tukitaka kuwa objective kuchunguza kwanza kabla ya kurusha lawama. That's what responsible journalism is all about japokuwa mimi sio mwana habari.

    Phatlorenzo-MN

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 08, 2009

    Ahsante sana kwa picha, lakini mbona mmetbagua na hali wengine tumekuja pamoja hapa na hamtutoi kwenye blog hii ya jamii?Mfano Levina wa Citizen hayupo, na mie wa Majira sipo....naomba wenzangu tuwakilishane, maana ndio kuvipa sifa vyombo vyetu na kuitangaza Tanzania

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 08, 2009

    Hivi bongo kwa nini hua watu wengi hasa born towns ni vibonge a.k.a wanene na not good looking?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 08, 2009

    hapo born town ni nani?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 08, 2009

    uyo anayetaka atangazwe na auze sura umu ni nani tena??

    magazeti ya citizen na majira!!

    apa bloguni ndo umeona pa kuuzia sura au gazeti lako??

    ReplyDelete
  9. Huyo anon wa pili atakuwa anangalia sana BET na MTV huyo.
    Punguwani wengine wasiruhusiwe hata kuwa na komputa kwa jinsi walivyojaa mashudu kichwani.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 09, 2009

    tatizo mna access na internet bila shule, ndo maana hamuamin kuwa mnaandaliwa kuwa wafanyakazi na sio watendaji kazi. na wanaopinga kuwa cnn,bbc, na giant wengine wa habari sio wanaoamua muelekeo wa utangazaji wa habari, waingie darasani. wanaokataa kuwa marekani watu hawafi njaa, na hawafi kwa ubaguzi, na hawafi kwa gangs killings waende maeneo ya albama, misisip an kuliko wa waafrika wengi. kubalini,tunaishi huku lakina kuna matatizo kibao, achia mbali wengi ambao hamjasoma.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...