Home
Unlabelled
zakhia yasin kapalata ametameta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mpambaji aliyemremba mwali AMECHEMSHA VIBAYA SANA....huyu binti amejaliwa FULL-LIPS hivyo hakupaswa kabisa kupakwa lipstic inayo-shout kiasi hicho!!
ReplyDeleteniimependa nguo yako sana. al d best kwenye ndoa yako.
ReplyDeletethe dress is real stunning..hebu nigee hiyo nguo umeshoneshea wapi atleast contact nipate pendeza kwenye sendoff yangu August mwezi ujao shost. UMEPENDEZA SANA KIVYAKO VYAKO MANAKE
ReplyDeleteNajuwa ni jina lako ila si Zakhia ni Zakia tatizo mnapendam ajina ya kiarabu mnafikiria mkiweka khia ni kiarabu ni Zakia. Umependeza mashallah.
ReplyDeleteCHICKEN PARTY......ni sawa hiyo mwandishi au.....
ReplyDeleteMichu,
ReplyDeleteNina mambo mawili ambayo nigeomba blog ya jamii tuyazungumzie kutokana na habari hii:
Mosi, jee hiyo ilikuwa ni "chicken" au "kitchen" au "pati ya jikoni"? Tutumie maneno yapi ndugu zangu watanzania? Michu au ndio wewe unaepotosha kiswahili chetu? Au ndio tuseme lugha yetu ya kiswahili haijua vema bado tuko kwenye jitihada za kukiboresha?
Pili, wajamaa au ndugu zangu, sisi watanzania tuna pati za namna hii au ndio mambo ya siku za kale ya kumtoa mwana yamebadilika?
mmmh! dada kapendeza sana halafu ni bomba huyo! lakini haijafikia ile ya last week kwenye pikipiki! those pics are still in my head! never go away!
ReplyDeletejamani kusema ukweli huyu dada kapendeza na nguo yake,dada umeshonea wapi hiyo nguo jamani
ReplyDeleteMBONA HUKO TZ HAKUNA MAMBO YA KITCHEN PARTY ZA BWANA HARUSI, SISI HUKU UK KUNA KITU KINAITWA STAG PARTY IN MAANA NI YA WANAUME TU! BWANA HARUSI ANATOKA OUT NA MARAFIKI ZAKA NA NDUGU ZAKE WA KIUME WANAKULA MAAHALI KAMA BAR AU RESTAURANT! HALAFU PI YA WADADA INAITWA HENNY NIGHT NI KAMA TU !CHICKEN PARTY ZA BONGO, WADADA WANATOKA! WHAT DO YOU THINK WANAUME?
ReplyDeletemichuzi tulikuomba mawasiliano ya ile HARUSI YA PIKIPIKI KULE KIJIJINI ili tutume zawadi zifike
ReplyDeleteumetubaniaaaaa??????
ni sahihi chicken party, ambapo huku Uingereza bibie mtarajiwa hutoka na mashoga zake kwenda kujiliwaza kabla ya harusi.
ReplyDeleteIli chicken party ya bongo sijui kama ni za huku Uingereza ambapo bibi harusi mtarajiwa hufanya kufuru kwa kunywa na asipoangalia atajikuta anaamkia ktk kitanda asichokijua.
Ila kitchen party ni 'kufundwa' jinsi ya kuwa mama anayemiliki familia.
Mdau
Charles Dickens
Hackney-London
Anony wa 5.16 wa Uk, basi wenzio sisi huku waja leo waondoka pati hizo za wanaume tunaita ndundu party. sasa hapa wanaume wanamsaidia mume mwenzao kujaza sanduku la bibi harusi wee inapendeza mwanawani
ReplyDeleteWanaume kwa kuficha yao hawajambo.huyo mdau anayesema bibi harusi mtarajiwa anaweza kuamkia kitanda asichokijua? kwani Stag night mwanaume si anaweza aamke kwenye kitanda asichokijua, tena wanaume ndo zaidi manake analetewa stripper wa kujivinjari nae cha mwisho mwisho akiwa bachelor..wengi wanaishia kutemwa na bibi harusi watarajiwa mara wakibaini kuwa alijivinjari kwenye Stag Night.hahahah...
ReplyDelete...Somo yake biharusi hebu nitafutieni,nakungwi lake harusi wote wajehapa uwanjani, tuje tumfunze mwari malezi yakizamani, unapopelekwa kwako mama unapofika nyumbani, ukacheke na mumeo umpumbaze chumbani, wakaja na ndugu zako wakaribishe nyumbani, wakaja mawifi zako mama uinuke kitandani,wanapo kuja wakwezo uwaweke ukumbini, wakaja shemegi zako mama uwaweke barazani, wakaja mashoga zako sema nao dirishani, wakikuaga kwa heri uwambie karibuni, ufunge mlango wako urejee kitandani, ukiisikia hodi ushungi uwe kichwani, huenda akawa mumeo mama usimkere moyoni, kama ndie ".. Bwana pita" kwa sauti ya huzuni, umkande kande mabega mume kachoka kazini, huku ukicheka cheka na macho yawe laini...!
ReplyDeleteJamni sijui "lip in shout", jina lake sio Zakhia" Yote hayo ya wenye roho za korosho tu
ReplyDeleteMbona hamsifiii gauni lake? This is a stunning, beautiful and very elegant drees.
Na kama limeshonwa na mtanzania basi huyo fundi ni wa kutupiwa jiho. Nguo kama hizi ndio za kupelekwa kwenye maonyesho ya kimataifa.
Zakhia I don't even know this lady but you know what? Let them talk, you look good sweetheart....
Miss Remington
Kila mtu anasema huyu dada kapendeza, hivi kwani hamumuoni kuwa ni mzuri?
ReplyDeleteHata asingevaa kivazi hicho bado ni bomba ile mbaya.
'Nautiakasi' wewe ni mtoto wa mjini sana tena ni mjanja sana kumshinda michuzi hahaaaa. kwanza hilo jina lako tu mimi huwa lina niacha hoi sana. ulipotea na sasa umerudi tena, karibu sana Ngw'anawane!. Hilo shaili la Isa Matona ni kiboko sana ila ile sauti si ya husuni bwana husemwa kwa kubana pua, hebu baneni pua mseme 'bwana pita' safi sana ..hahahaaa Nautia kasi '''Nikiendelea sana hapa mimi ndiyo nitakaye adhibiwa na michuzi kwa sababu sinta ona mwanga wa blog.. hahahaa..Nautia kasi. hahahahaaaaaa.(MICHUZI NA WEWE UMEZIDI UKALI MPAKA BLOG INA BOA, KHA....!
ReplyDeleteNautia kasi bwana, hii hapa link ya Issa Matona. bonyeza hapa enjoy..http://www.eastafricantube.com/media/488/Issa_Matona_-_Kimasomaso/
ReplyDeletemichuzi kaka, kiukweli kabisa tunaomba tupate contact za dizaina wa nguo na mwali wetu ili tumpe kazi. coz yuko serius na profesheno yake. plz. dada hongera
ReplyDeleteHongera dad Zakia umependeza sana !!!!Hiyo nguo umeshonea wapi??naomba contact za mshonaji pls nitumie kwa appletunda@yahoo.com
ReplyDeletemdau unaejidai uko uk umechemsha big time
ReplyDeletehalooooo rusha rohooo,kidole juu mwanamke nyonga babu,makalio majaliwaa
ReplyDeletebibie saaafi sana ongoza msafara kwa raha zote za kike
Jamani mimi nataka contact za fundi aliyeshona hii nguo, PLEASE TUTAMTAFUTIA DEAL HUKU MAJUU ANGALAU ATENGENEZE DOLA
ReplyDeleteImebidi nitumie siku nzima kumwangalia huyu mwanamke mpaka nikauona uzuri wake. she is real beautiful. Na iwe unapesa asipate taabu ya maisha magumu uta-enjoy sana. wewe fikiria mwanamke kama huyo nje inanyesha mvua na kuna kaubaridi kwa mbali na iwe kesho yake ni Jummamosi, unataka upewe nini tena? na pesa ipo. weweee! ngoja nikomee hapa sababu sintaona mwanga wa JUA. hahahaa(Michuzi utafikiri tuko jela adabu mtindo mmoja teteteteee)
ReplyDeleteDada Kachinja Kuku/umependeza nguo nzuri.Hongera.
ReplyDeletekaka michu jamani naomba namba ya simu ya huyo fundi alieshona hiyo nguo kwenye aminata.saguti@hits-tanzania.com....yaaani its realy stunning
ReplyDeleteweee ivi mumeo kakuruhusu kujitundika umu???
ReplyDeleteafu wee balozi mbona watu wakiombaga contacts uwa huweki??nashangaa sana
Dah ila huyu binti ni mrembo. mzuri mno. sijui kama jamaa atamudu kuendeleza urembo huo. akishindwa tutajitokeza kusaidia.
ReplyDeleteOkay mimi nimechanganyikiwa kidogo hapo juu,UMESEMA CHICKEN PARTY? na je KITCHEN PARTY itafanyika lini?
ReplyDeleteMzee wa STAG sisi huku tunaita an excuse to go out with a stripper and misbehave.
ReplyDelete