
The American volunteers will work in the Health and Environment fields will be stationed in Kiteto, Lushoto, Singida Rural, Hanang, Muheza, Same, Ruangwa, Lindi, Chamwino, Kondoa, Mbeya Rural, Newala, Masasi, Songea Rural and Njombe districts for two years. (Photo courtesy of the American Embassy)
Unafiki wao tu eti wamevaa vitenge
ReplyDeleteHivi kaka Michuzi, Kutokana na huu mdororo wa kiuchumi hatuwezi kuanzisha shirika letu la kwenda ku-volunteer -mamtoni ili wazungu wajue kuishi maisha ya dhiki wakiwa kwao kuliko wao kuja bongo kujidai wana-volunteer kumbe nuksi tu
ReplyDeleteASANTENI SANA WANANCHI WA AMERIKA AMBAO WANALIPA KODI NA KUWEZESHA NDUGU HAWA KUJA KUISHI NA KUFANYA KAZI KATI YETU; MIMI NI MMOJA AMBAYE NILIFUNDISHWA NA WALIMU WA KUJITOLE TOKA TAIFA LA AMERICA HAPA KWETU TANZANIA NA WALIMU HAO WALINIJENGEA MSINGI MZURI KATIKA KUTAFITI NA KUFANYA KAZI KWA KUJITUMA. KARIBUNI SANA TANZANIA, NA ASANTE KUWEZA KUIGA NA KUVAA KAMA WATU WENGI WANVYOVAA HAPA NCHINI. MMEPENDEZA SANA.
ReplyDeleteTHAT IS A GOOD NEWS, MASSIVE AND HUGE. PEOPLE FROM ALL OVER FAR AWAY THE OTHER SIDE OF THE POND COME TO OUR COUNTRY TO HELP THE POOR, THE NEEDY ONE, THAT IS ABSOLUTELY INCREDIBLE. WE OURSELVES WE DON'T HAVE TIME EVEN WEEKENDS TO HELP THE POOR, WE OUGHT TO LEARN FROM THIS GOOD THING. WE SEE NEWALA A UKOMA TUNAKUOGOPA KAMA UKIMWI TO GO AND WORK THERE, BUT THESE INCREDIBLE CREACHERS THE LOVE IT.
ReplyDeletevijana changamkieni wachumba hao mkagange njaa MAMTONI, inawezekana kumpata mke hapo this is not ajoke it is real, I know somebody who married a volunteer and now is doing babu kubwa in USA
ReplyDelete