



Mkuu wa Wilaya ya Nanihii,
Mke wa rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama amezidi kuonyesha tofauti yake na wake wa marais waliopita wa Marekani. Michelle amekuwa mke wa kwanza wa rais kuvaa kikaptula na kupanda dege la rais Air Force One.
Obama, mkewe na binti zake walikuwa Arizona katika vakesheni yao binafsi ya kutembelea sehemu mbali mbali za kitalii katika jimbo hilo lakini vyombo vya habari badala ya kushughulika na ziara ya mkuu huyo wa taifa kubwa duniani, walikuwa bize kupata taswira za kikaptula cha mke wa rais.
Vyombo vingi vya habari vya Marekani vimekuwa vikijadili nguo anazovaa Michelle Obama kama zinafaa kuvaliwa na mke wa rais au la huku watu wengine wakitoa maoni kwamba Michelle ni mwanamke kama wanawake wengine hivyo ana haki ya kuvaa atakavyo.
Mdau KB.
Sio mbaya kuvaa kikaptula,ila kwa sababu yeye ni world figure,kivazi hicho inabidi akivae akiwa home kwake tu na si kwenye public eyes.
ReplyDeletemshikaji mwambie basi jk anaependa kuiga amvalishe mama salma tuone nanihii yake ilivo
ReplyDeleteNinawapenda sana first families.Ninaunga mkono sera za Obama na ninamuombea kwa Mungu afanikiwe katika health care reform.Ingawa familia hii inajitahidi sana kuthibitisha kuwa wao ni watu wa kawaida tofauti na waliowatangulia, ninatofautiana kidogo na first lady kuvaa kikaputula.Naelewa kuwa joto lilikuwa ni 106F lakini kikaputula was a way too far.
ReplyDeleteThx
Yes..acha avae apendavyo, huu ni wakati wa sisi washamba kujifunza kuwa tusipende kuwahukumu watu kwa kuangalia mwonekano wa nje. Mara nyingi hao wanaovaa kama tunavyofiki sahahihi mara nyingi ndiyo watu HOVYO sana. Ona sasa hapa tutasema nini? hatuna la kusema kwani kama kitabu kaenda sana, kama mapesa wanayo, kama akili na uwezo wa kazi hapo umefika, kaolewa ana watoto sasa tuna ajenda tena hapa????? VAA MAMA KAMA UNAFIKIRI INACHANGIA KWENYE KASI YA KULETA MAENDELEO NA KAMA MTU ANA HOJA AONYESHE UBINGWA WAKE WA KUVAA VIZURI NA KASI YAKE YA MAENDELEO
ReplyDeleteMwacheni demu wa watu apige vibichkoma.
ReplyDeleteUsafiri wake unaonyesha angekuwa anapiga boli angekuwa winga machachari sana.
Naelewa Arizona jua lipo karibu na dunia lakini shemeji yangu si unaelewa kuwa kaka ameachiwa majukumu mazito sana na aliyemtangulia.Hebu msaidie basi kumpunguzia unecessary criticism japo kwa kuvaa kikaputula kinachofika magotini wala hutapungukiwa na kitu.Na wewe kaka unaelewa kuwa shemeji ana maumbile ya ki-Liberia.Huo ushepu na kikaputula ni mziki mnene kwa akina michuzi.Hebu ongea na mwenzio siku mojamoja,mvi zinakuja kwa kasi kichwani,shauri yako.
ReplyDeleteMdau KB umeitoa nifahamishe.com hiyo
ReplyDeletehabari zenu wadau wenzangu kuhusu mke wa rahisi wa merekani kweli yeye ni mwanamke kama wengine lakini haipendezi yeye kuvya uchi kama ni mke wa rahisi lazima ajiheshimu kimavazi anavutia mtu akimuona hata wewe binafsi utakuwa unamuheshimu anavyo vya hata huwezi kujuwa ni mke wa rahia au mke wa rahisi maoni yangu asivyae mavazi ambayo hayapendezi kabisa.mdau toronto canada.
ReplyDeletekama angekua kwenye back-yard yake anafanya shughuli zake mi nisingemind b'se she has a body for it. But kwenye public trip kama hii it's a big nono. angevaa khakis au jeans kama jamaa hapo.
ReplyDeleteKuna mambo mengine mtu ukishafika umri fulani unatakiwa kuwa makini .I don care kama ni mke wa rais,mmarekani au mtanzania
Hata mimi nasapoti baadhi ya wamarekani kwamba, huyo ni mwanamke kama wake wa watu wengine na kikubwa zaidi hiyo ni VEKESHENI jamani, unataka uvae gauni vekesheni, utachekesha. Yaani hicho kikaptula kiko mahali pake, mbaya kama angevaa akiwa ofisini au wakati wa G20.
ReplyDeleteYou go gal. She is being herself rather than imitating the norms
ReplyDeleteinapendeza sana lakini nisije sema ikaonekana haina maana kwa sababu mguu anao wa kuvaa nguo fupi ndio maana kavaa
ReplyDeleteAnything she wears they will talk. The problem is that they can't handle to see a black woman comfortable on her own skin. She was going hiking after all.... can't exactly hike in a formal wear.. good for her.. and ohhh..She got good legs let her show...
ReplyDeleteThis is not in our culture lets leave like that and we deal with our probleeeems
Wavaa ovyo duniani kote tunashangilia kwa nguvu. Mtu hawi judged kwa mavazi. Watu wengine tunapendela kuwa tu simple kivazi cha kawaida. Unakuta mtu una kisomo chako, account yako inapendeza, jumba limetulia, familia poa, confidence yako unayo halafu unavaa ovyo. Huyu mama ametuwakilisha vyema.
ReplyDeleteSalaaaale!
ReplyDeleteStupidy
ReplyDeleteKuvaa kaptula imekuwa nongwa. Je angetoka uchi?
ReplyDelete....change has came to us!kelvin, uk!
ReplyDeletewe anon wa Aug 20, 08:19:00 pm, acha uongo! hicho ndo kivazi cha "vekesheni"?!
ReplyDeletemichuzi mbona kila siku anaenda "vekesheni" hatujamuona akivaa kikaptula?!
Tipiko Shaniquaishic ... hana lolote huyu alikua anataka attention tuu , alijua kabisa akishuka namna hiyo kila gazeti, kila tabloit , kila news itakua about herself , toka mwanzo nilijua huyu mama anapenda sifa . kwanza mapaja yenyewe hayo yako fat na bado ana ya sabasabarisha.
ReplyDeleteHii tizo la blackwoman kujifanya mzungu na kupitiliza ,mbaka class inakua haipo tena ..a ghetto chick anapokua Ikulu.
Haya ndio mata
mimi nawalaumu walio toa picha zao wakiwa vekesheni.jamani wako mapumzikoni lazima wavae watakavo wao badaa ya majukumu kibao.mii naona ni propaganda za hawa makaburu maana wanamaind saana ngozi nyeusi haitaji cream wala nini kune jua kali
ReplyDeletePresumably, the place they left for was offensively hot.Though, I find it a bit way too far for a first lady.
ReplyDeleteHowever, "Different ropes for different folks"
So let Michelle do whatever floats her boat.
jamani huyu mama inapaswa afundishwe dress codes unajua unakuwa public figure like her kuna jinsi ya kuvaa anapaswa kuzingatia hata kama akivaa kaptula, for her pedalpusher ni appropriate na sio hicho kichupi alichovaa! halafu huyu mama anaonyesha ni mjamzito! jamani wakina dada chuinguzeni hiyo picha mtupe uhakika mimi ni mbaba naona ka-Obama Jr kanacheza tumboni mwa Michelle
ReplyDeleteLooking good lady! u r my favorite women but i think you should wear a little bit longer one, you have big tittle dear, look Oprah the way she dress decent even if she goes vacation. Yes you have beautiful body but keep it for Obama, love you always!!
ReplyDeleteThis is the real change! Hii ni kuonyesha kwamba White house is just a house like other houses! I like the way Obama and the wife the way wanavyo-take life so easy. Wala wanainchi hilo lisiwasumbue kwani sioni kama kuna tatizo lolote kwa yeye kuvaa short. Hilo mbona ni jambo la kawaida na maumbile yake yanaruhusu. Supper mama, Go Michelle! By the way this is how black people we do our things!
ReplyDeleteWith this hot weather, go for it Michelle, huwezi kujitesa ukajibana kwenye maviitenge kama mke wa rais JK bila kujali afya yake, she is in vacation wwith her honey and not on duty so wear even bikini is acceptable and appropriate. Go girl....you are pretty and Mungu amekujalia.Onyesha mama wasikuonee wivu.
ReplyDeleteKitu ni kwamba huyu mama umbo lake ni baya halikubali nguo aina yoyote akavaa akapendeza hata iwe ya gharama vipi, ivi nyie umbo lingekuwa linakubali na kuita wote hapa tungemsifia kapendeza na yupo uptodate; mie nafikiri atafutiewe designer special.
ReplyDeleteSASA MUCHUZI MIMI KILICHOBAKI HAPA NI KUJITAFUTIA KAMUCHE KA SABUNI NIMALIZIYE KWA KUTAZAMA HIKI KIPICHA.KESHO MAMA ATAKUJA NA BIKINI KAMA MWEZANGU HUNA MUCHE WA SABUNI UTAMALIZIA HAMU KWENYE BIKINI YAKO TU
ReplyDeleteKwanza kabisa naomba nimsahihishe Anonymous Thu 20Aug 07:55:00 wa Toronto Canada. Sijui umesahau kiswahili au pouse nyingi au hujui kiswahili kabisa:- Siyo RAHISI ni RAIS na si RAHIYA ni RAIYA usituharibie lugha hamna slain ya kiswahili. Pili kwe wa Obama anakuja tofauti kwasisi waafrica mila na desturi zetu ni kitu chakigeni na si chaheshima lakini kwa wamarekani ni kitu chakawaida sana.
ReplyDeleteKAMA CHRISTIAN RONALDO VILE
ReplyDeleteKimsingi Mke wa rais kuvaa vikaptura haipendezi ingawaje watu wametofautiana kifikra, lakin ukweli utabakipalepale unavaa kaptura ili iweje? sidhani kama hata marekani wenyewe wanapenda kuona hali hiyo ndio maana wananchi wana ulizana inakuwaje?
ReplyDeletejamani lazima muelewe wako mapumzikoni halafu kuvaa mbona hakuna noma je hao wanaojifunika na kufanya mambo ya ushenzi mnawaitaje?let her be free,wakina nanihii waliojifunika hadi magotini mbona walitibanga (princess di..)wengi wanafanya maujinga lakini hamonyeshwi kwahiyo we poa tu.mind u're sheet
ReplyDeleteUmbo lake linamruhusu kuvaa hivyo....hawa wengine vitambi, makalio makubwa na mahips manene hayawaruhusu kuvaa hivyo..wakivaa hivyo wanachekesha kwasababu ni wanene....tehetehetehe!!
ReplyDeleteMoral of story:Fanyeni mazoezi.
nyi nanyi hamnywi maji! muacheni Michelle atese.Wasiofanya mazoezi ole wao!
ReplyDeleteNyie Watu Hamna Dogo..lol Juzi Hasheem Kaingia Airport Kavaa Pensi Mkachonga Sana Na Nina Imani Ndio Nyie nyie Mnaochonga Kikampula.Kwa Walio Nje Wanajua Summer Ni Kitu Gani. Ni Jinsi Gani Kila Mtu Anahamu Na Kijua Cha Mienzi Miwili Au Mitatu.Kuna Mtua Kaeleza Kitu Kimoja Sana Ogopeni Chui Waliovaa Ngozi Ya Kondoooo. Jitwinge Shem Muache Bro Ajisikie Ulaini Wa Kupiga Mzigo Atusafishie Jina..Kuvaa Kitu Gani bana????
ReplyDeleteni mfano wa kuigwa na wake wa maraisi africa, kazi zao ni mavitenge tu wakati jua kaliiii! vaeni nguo zinazoendana na weather bwana!
ReplyDeletekila nchi na utamaduni wake walishazoea vaa vipens toka watoto sasa mlitaka aende vekesheni na vitenge vya morogoro au mabazee? eboh kwa raha zake fest ledi ushuzz haihusu kwenye masuala ya vekesheni na wakitaka kuogelea je ?? wavae magunia ?? acheni unafiki enyi kizazi cha nyoka na mbaddo mtasukutua na muarobaini mwaka huu!!
ReplyDeletemdau
uwanja wa fisi!!!!!
we annoy unayedai at michuzi akienda vekesheni huwa havai kaptla unachekesha sasa kwani michuzi kakulia wapp?? si mmatumbi huyu? hiyo sio mila yake wabongo wana mila zao hata huku majuu mambo ni yaleyale umbea upo tena kuzidi hm kumaindi minuso kama kawa.. ngono ahhh ndo mahala pake asili jamani ...pembe la nyati oops la ng`ombe
ReplyDeletemdau asali
Sasa naona Obama Afanye mpango wakidume akiwa hapo Ikulu .Yaani ittakuwa imekaa powa sana coz nikiangalia Familia yake naona imepungua kitu vile.Mtoto wa kiume bomba sana.DAVDENKO.
ReplyDeleteAnon wa frid.21 06:40..please go to school before you start writting ya broken english.It's not your language anyway so next time just use swahili please.Ni hayo tu...and kuhusu kikaptula all I can say is 'watever tickles your fancy'.I ll just leave it at that
ReplyDeletePOLENI KESHA VAA NA PICHA AMEPIGA SASA SIJUI MAONI YENU YATASOMWA NA NANI UKO WHITE HOUSE!!
ReplyDeleteoyeeeeeee michelle obama safi be yourself mama n rest of the family
ReplyDeletefull kujiachia...mlitaka avae baibui?
hahahahaa teh teh uwiiiii eti angefaa kuwa winga machachari,duh kumbe ndo flavor ya yanki obama mwanamke athletic body/ooh soryy legs!!!!!!!!!!!!
"mzee wa pajazzz" uko wapiiii,vipi apo?
ReplyDeletemwambienimke wa rais wenu aige kama mumewake
ReplyDeletemjombaa humu mbona kelele nyingii.. mbona bado kuna maaeneo tz watu wanatembea uchi hau amjui, si wale wama.. mpaka leo tupu tunaziona.Alafu kama wengi mmesoma history mtajua kutembea UCHI ngozi nyeusi ndio asili yetu.Mtu abishe aone... go go mama
ReplyDeletemvalishe wako chumbani uone kama hukwenda nyumba ndogo, yaani utamkimbia!!!!!!!!!
Venaz
America is free country. So, she can wear whatever she wants. She has a good figure. I like the way she wears her whatever. She is good looking women. But; remember people always, we have something to add. She is on vacation; so,she can can wears anything. Another thind to remember, we not here to make collections for what someone have been wrote. You are here to write your own comments. If you know English better than other good for you. If you look your fingers are not the same. In additon, English is my second language. In order to learn more I need to use it for what I have gained from my previous school.
ReplyDeleteI sorry to write this. First of all, this topic is about Michelle's Kaputula.
Not language.
Thanks
Mdau Peramiho-Ruvuma
sasa leo wamevumbua picha moja ya Jacky Kennedy kaapiga uchi wa mnyama. pamoja na kuvaa kote kule kumbe sasa siji hizo wataseema nini
ReplyDeleteDu ZE PAJAZZZZZZZ!! si mchezo! kumbe toto pajazzzz liko mwake namna hii!! doh salaaaale!! leo mwenzenu michu kanikumbuka na mie, siku nzuri sana leo, hapa nilipo najigongea mke wa rais kiulaiiini yani hapa natafuta la tatu!! ugali kwa picha ya samaki kama kawa.leo picha ya beyonce imepigwa bench kwa muda kwanza!!!!
ReplyDeletehe kaka unasemaje??? mzee wa pajazzz nisiione hii nimerogwa??nshaikong'otea inshu muda tu, sema niliona nianze kazi kwanza bila ya kupoteza muda ukizingatia leo nina levola mpyaaa!!!
duh kumbe mkuu anafaidigi namna hii!
mzee wa pajazzzz.
MCHECK JAMAA NA MKEWE WALIVYO KEEP FIGURE NA NCHIYAKE MIHELA BWERERE KAZI KWA MZARAMU KUDADAEKI MIAKA 4TU TUMBO,TAKO,SHAVU DUUH MAMA SALMA VAA KAMA HIVYO ZE COMEDY WAPATE MSEMO
ReplyDeleteWe annoy hapo katikati unajidai umepitia baraza la Kiswahili enhe?umemkosoa mdau wa Canada ati Kiswahili chake is not richabo na wewe ukaongeza madudu ni raisi na sio rais raia na sio raiya acha kunyumbulisha mambo Mdau vancouver Canada
ReplyDeleteKIMPANGO WAO, SISI HAITUHUSU, WAPO KWAO NA MAMBO YAO WENYEWE
ReplyDeleteaah jamani waandishi wa habari wa usa acheni ubaguzi mbona mnasema hapa america mtu anatakiwa kuficha sehemu za siri na matiti tu au leo kwa kuwa michelle ni black acheni hizo,mama uko right hizo ni rongo rongo tu
ReplyDeleteWee Anon wa Fri 21 2:35 unayemwambia mwenzio aende shule, wee ndio unatakiwa uhamie shuleni kabisa kwani unaandika madudu matupu, ndio maana umeshidwa kuelewa hata alichoandika mwenzio. Kuhusu kaptula ya Michelle tatizo liko wapi joto kali mtu anaruhusa yakuvaa kinachofurahisha moyo wake, mumuwe karidhika wengine maneno yanini???
ReplyDeleteBIG UP OBAMMAAA MAGEUZIIII.....
ReplyDeletehumu ndani tuanzishe darasa la kiinglish manake mh ila mdau huko peramio ruvuma acha tu anyaway tumekusoma lakini ni kweli kiinglish ni second language na kukosea ndo unajifunza
ReplyDeletekwa nini watu msijitahidi kuboresha maisha yenu na kuelimisha watot wenu, sadi homework n.k
ReplyDeleteHivi Obamaz family wanajua hata km mpo dunia hii? hiyo culture ya watu hamuwezi kubadili...ndio ni weusi lakni tofauti kabisa na tulivyo sisi waafrika..
Heshimuni utamaduni wa watu..Hata kama kavaa katula mme wake hata ng'olewa urais..Amen.....!