Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Jamaa anaona Doh! Katika mwaka huu hau maliziki TV yake itaibiwa na Group la kina Zombe Wizi mtupu Ujambazi Mtupu Ufisadi Mtupu Chai hainywiki. Jumbe.

    ReplyDelete
  2. TANZANIA MBONA TUTAKOMA!!!!UJINGA WA HALI YA JUU.

    ReplyDelete
  3. nimependa rangi ya kinywaji kilichomwagika toka kwenye kikombe cha chai.

    ReplyDelete
  4. Nimekuwa nikijiuliza hao watuhumiwa watatu ambao kupatikana kwao ni muhimu katika upatikanaji wa ukweli katika kesi hii.kwa nini serikali haichukuwi juhudi za ziada kuwatafuta watuhumiwa hao.

    Kwa mawazo yangu serikali ingefanya jambo la busara kama ingechapisha picha za watu hao watatu wanaotafutwa na kuzisambaza kwenye vyombo vya habari ili jamii iweze kutowa mchango wake katika kuwatafuta watuhumiwa hao badala ya kazi hiyo kuwaachia Polisi pekee.

    Yawezekana hapo nyuma wahusika walishawahi kuzitowa picha za watuhumiwa hao kwenye vyombo vya habari,lakini pia muda mrefu umeshapita ni vyema wananchi tukasambaziwa tena picha za wahusika hao.

    Mara nyingi hatuwa kama hii ya utowaji wa picha za watuhumiwa kwa jamii huleta matunda ya haraka.

    ReplyDelete
  5. JUMBE.
    ndugu yangu jumbe nasikitika kukueleza kuwa maelezo yako uliyoyatowa kuhusiana na hiyo katuni hapo juu ni utumbo mtupu.

    Melezo yako hayaendani kabisa na ujumbe uliotolewa hapo juu.

    sikusudii kuwa nipo perfect katika michango yangu niitowayo.lakini ndungu hapo umeburunda.

    ReplyDelete
  6. Forget politics,
    It is called,' without reasonable doubt'
    That is what makes Zombe out now

    ReplyDelete
  7. Hii. nchi imekaa vipi, hakuan hakhi, kwa Mtanzania, asiye na cheo, au mlalahoi. Jamaani hebu weka Tanzania kuwa better place, sio kwa maneneo tu kisiwa cha amani wakati watu, hawana hata hamu na mambo yanavyoenda,sio hao walioko madarakani ndio kwamba watakua madarakani siku zote, kamwe, sasa na vizazi vinvyofwata vinangalia history hizi za uvunjaji hakhi za binadamu, mnataka binadamu waishi kama wanyama kwa kuoneana, khaki hatendeki kiukweli bali kwa hela.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...