Home
Unlabelled
ali choki kuibuka upya na extra bongo leo new msasani club
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tatizo la choki ni tamaa iliyomzidi hapa anaanza vizuri sana baada ya onesho lake la kwanza, na kuonekana na watu atawatelekeza wenzake na yeye kuanza na bendi itakayomlipa dau kubwa. hao wana muziki wake wajiandae kuwa peke yao wasijefikili kuwa wana kamanda!! kamanda wao mwepesi kuongeka!!.
ReplyDeleteNamuona rafiki yangu Greygory hapo na solo guitar...Greygory tulikuwa pamoja Arusha ..mitaa ya kanisa rd.. enzi za Kurugenzi jazz...wewe na kaka Gerald Nangati ndio mlionipa mwanga wa kupiga guitar pale kanisani... nafurahi kukuona unaendeleza libeneke...wako wapi akina Charles, shabani dogodogo n.k.? nasikia kaka Gerald ametangulia mbele ya haki R.I.P.
ReplyDeletembona akina baba wameficha makwapa yao kulikoni? au akina mama ndio watu wa kuekwa utupu hadharani na kuchezeshwa viuno.
ReplyDeletehata kama ni kutafuta riziki basi kuwe na uwiano...najua wengi litawachoma hili lakini ni lazima tubadike na wanawake wasiwe chombo cha starehe.
Michuzi unapoongelea suala la muziki wa kibongo ndo huu. Ukisikia mtu ana kipaji ni kama hivi kina Choki, Muumin, Banza, Bitchuka, maalim Gurumo, n.k. Haya masuala ya kubatiza miziki ya watu kuwa yetu tuachaneni nayo, Bongo dansi ndo muziki wetu na si Flava.
ReplyDeletela wanatia huruma jamani!
ReplyDeletesawa choki tunakutakia kila heri ila tatizo wanamziki wa kizazi kipya mkitoa single moja mnanyanyua mabega,nasikia ndio maana komandoo hamza kalala aliimba ule wimbo kuwa eti toka lini ngoma za watoto zikakesha?na toka lini ngozi ya kitimoto ikawambwa ngoma?
ReplyDelete