anko nanihii na wenzie kadhaa walibahatika kutembelea ikulu ya zenji enzi hizo rais akiwa Dk. Salmin Amour almaarufu kama Komandoo. pichani toka shoto ni Emmanuel Kwitema (yupo Uhuru na Mzalendo), anko nanihii, Aboubakar Liongo (yuko Ujerumani, Komandoo, Francis Lucas (RIP), na Stephen Rweikiza (amestaafu). Nyuma toka shoto ni John Ngahyoma (yupo BBC), Ali Mwinikai (yupo Zenji), Faroukh Karim (ITV na Radio one Zenji), Francis Chirwa (Raia Mwema), Martin Kabemba (yupo Zenji), Mdau (jina limetoka), Shimye Ahmed (RIP), Obeid Mwangasa, Mdau na nyuma kabisa ni John Bwire (Raia Mwema). Picha hii ya miaka takriban 12 iliyopita imeombwa tena na wadau kadhaa walioitafuta na kuikosa kwenye posti yake ya awali

Anko Issa, aksante kwa picha nzuri, imenijazz. Ila swali langu ni kuwa katika kundi lenu hakukuwa na wanawake waliobahatika kuandamana nanyi kwenda kwa Komandoo?
ReplyDeleteAnko nanihii, "gender issue" wakati huo kulikwa hakuna? Naona wanaume watupu!
ReplyDeleteAnko naniii naona pichani ulikuwa fit, kitambi kilikuwa bado kutokeza..anza tizi tizi hivi!!
ReplyDelete