anko nanihii na wenzie kadhaa walibahatika kutembelea ikulu ya zenji enzi hizo rais akiwa Dk. Salmin Amour almaarufu kama Komandoo. pichani toka shoto ni Emmanuel Kwitema (yupo Uhuru na Mzalendo), anko nanihii, Aboubakar Liongo (yuko Ujerumani, Komandoo, Francis Lucas (RIP), na Stephen Rweikiza (amestaafu). Nyuma toka shoto ni John Ngahyoma (yupo BBC), Ali Mwinikai (yupo Zenji), Faroukh Karim (ITV na Radio one Zenji), Francis Chirwa (Raia Mwema), Martin Kabemba (yupo Zenji), Mdau (jina limetoka), Shimye Ahmed (RIP), Obeid Mwangasa, Mdau na nyuma kabisa ni John Bwire (Raia Mwema). Picha hii ya miaka takriban 12 iliyopita imeombwa tena na wadau kadhaa walioitafuta na kuikosa kwenye posti yake ya awali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Anko Issa, aksante kwa picha nzuri, imenijazz. Ila swali langu ni kuwa katika kundi lenu hakukuwa na wanawake waliobahatika kuandamana nanyi kwenda kwa Komandoo?

    ReplyDelete
  2. Anko nanihii, "gender issue" wakati huo kulikwa hakuna? Naona wanaume watupu!

    ReplyDelete
  3. Anko naniii naona pichani ulikuwa fit, kitambi kilikuwa bado kutokeza..anza tizi tizi hivi!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...