anko nainhii akiwa katika mnuso na wadau wakuu wa rock city usiku huu



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. afu michuzi mbona marafiki zako wamenuna hivyo? manake hata kucheka kidogo? sawa maisha ni magumu basi mpaka kwenye picha? waambiage kuwa unatoa picha hizi kwenye mtandao.

    ReplyDelete
  2. VITAMBI OYEEE!!!!! MAZOEZI ZII!!!!

    ReplyDelete
  3. We michuzi ukialikwa harusini unaenda na fulanaz halafu ukiwa mitaani unavaa vizuri.Tabia mbaya hiyo

    ReplyDelete
  4. My brother with a short drop 40Lb lease.Thi is for your own benefit.
    thx.

    ReplyDelete
  5. Hii sababu tunamahisha mafupi BIA kilasiku mazoezi hakuna,Tabu tupu.

    ReplyDelete
  6. Heart attack,cadia arrest,kisukari,BP waambie wadau wa mwanza waanze mazoezi na wawe na dicpline ya kula chakula bora nyama choma,beer wapunguze otherwise sijui.Wake zao wanapata haki zao kwa uhakika?

    ReplyDelete
  7. kweli umeshine in black and white uko mwaa bora kale kafulanaz kanaanza kuwekwa kwenye tenga tartiibu ntafurahi kweli panya wakitafune tena sehemu za kifuani au tumboni sijui itakuwajee??
    mdau canada

    ReplyDelete
  8. Does anybody know what happened to the "Afya ya Jamii" programme which used to be aired by ITV every Wednesday in the early '90s?

    ReplyDelete
  9. jamani jamani vitambi kweli ni janga la taifa life expectancy kwa wanaume bongo ni 40 years sasa wanaume wakiwa na vitambi kama hivi hapo inakuwa 30

    ReplyDelete
  10. talking about obesity !

    ReplyDelete
  11. maskini waTz na haya maradhi

    ingekuwa heri geshi lirudi na iwe compulsory yani lazima ili watu w-shade izo vifo(vitambi) wavobeba.

    ila sishangai cna mwanza gym ziko 2 nazo zimeaza juzi tu.

    kazi kweeeeli

    ReplyDelete
  12. AFYA NI KITU MUHIMU SANA SASA HAWA JAMAA WANAJUA MATATIZO WANAYO BEBA KWENYE HIZO MIMBA? TENA ZA MIEZI MITATU SIJUI SABA

    ReplyDelete
  13. HAWA WATU NI FULL DOLA MSILETE MCHEZO WABEBA BOX MKIJA WATAKUKOPESHENI MKIISHIWA

    ReplyDelete
  14. jamani jamani hayo matumbo tafadhari punguzeni,sio kwa ajiri ya afya tuu hata image zenu zitakuwa nzuri zaidi na kuonekana vijana...sio lazima kuacha bia ila kunyweni kidogo au light beer na punguzeni chakula kama nyama,tena mwanza kuna samaki kibao na samaki wana afya sana na hawaleti vitambi,kumbukeni mboga mboga za majani,samaki,kuku toeni mangozi na msiwakaange ila muwachome na mpunguze nyama za ng'ombe na vitu kama wali na ugali mle kidogo tuu na mjari kufanya mazoezi hata kukimbia kwa nusu saa mara tatu kwa wiki inatosha sana,msipoangalia mtaanguka mkitembea

    ReplyDelete
  15. Si nasikia bongo mwanaume sio kamili kama hana kitambi au?

    ReplyDelete
  16. nyie semeni tu ila mie naona kaka yangu anko bai afya tele!!
    Jaji mabai nimeku-look kwa kutumia kiona mbali!!1 NAWE URIMBIKA JAJI!

    ReplyDelete
  17. Hivi nyinyi wabeba box kwanini mnaoongea msiyoyajua?Raha ni kunenepa,,na hizo habali za wazungu wanazowadanganya eeh mala unene noma unene kifo,,kwani wanaoshinda wanakufa ni unene tu?kifo hakiji kutokana na unene,,bali siku zikitimia unaweza kuondoka kama yule mwami wa pop,,naye alikua mnene??kitambi oyee!! mi mwenyewe natama kitambi lakini hakiji!Hata mkuu wa mkoa wa nanihiiii kimeanza kuota.mithupu oyeeeeee,,.

    ReplyDelete
  18. TUNABEBA BOX UKU MPAKA MIHILI YETU INASINYAA,BONGO WENZETU WANATANUA KAZI KIDUCHU PESA KIBAO WAHACHENI WAVIMBIANE.

    ReplyDelete
  19. mmesema wanene lakini hamsifii huyo mwembamba hapo. na bia mkononi lakini mwili wake unalipa. hongera kama unaenda gym mara moja kwa week wala usiachena kama ni genes bas ushukuru wa kwenu au wew ni half dolla? manake naona kuna mtu kasema hao wanene ni full dolla mweeeeee

    ReplyDelete
  20. MWENYE SHATI LA NJANO, YUKO FIT KICHIZI. INABIDI AWAFUNDISHE WENZIE MASUALA YA LISHE NA MAZOEZI.

    ReplyDelete
  21. Mabox tunabeba na tuko fizikali ukituona tuko 40s utadhani tuko 30s za chini!!! na tukija huko wake zenu wanatutaka tulivyopendeza.. kalagheni baho!!

    Mdau, Majuu!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...